kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,821
- 20,821
Kwa haraka nina jumla ya Laini 19 hivi🤔, yah! Laini 19 mitandao yote kiujumla.
voda 5, tigo, 3, halotel 4, airtel 6, Ttcl 1.
Serikali haina ajira, tunajiajiri wenyewe.
👉Note: Laini zote hizi ziko active, na zinatumika kwa mawasiliano halali kabisa, kwa anayehangaika kunipata tatizo ni lake sio langu, apige kwa laini nyingine nitapatikana.
19? Utakuwa wale jamaa wa tuma kwa namba hii
Hiyo line ya miamala naomba nikushikie😅ndiyo mmenishtua imebidi nihesabu..!
Nina laini 7, nyingine hazipo kwa majina yangu..
4 za biashara, 3 ndiyo personal japo ninazotumia zaidi ni 2, 1 ni mahsusi kwa ajili ya miamala. tu.!🙌🏾
dosho12 Vincenzo Jr Depal
mko na laini ngapi wazee wenzangu..!?
Ati mbili tu...😃 nna mbili tu mwaya
Zingine hata mtoto wa mama mkwe hazijui 😁😁 lkn zipo na zinatumika daily kwenye mitikasi
View attachment 3532588
😁😁😁😁Hiyo line ya miamala naomba nikushikie😅
😅😅😁😁😁😁
hiyo hata nikifa atakayebaki nayo lazima niwe mzimu nimtokee..!
Kumbe ni ngapi 😃Ati mbili tu...
Ngoja nikae kimya...Kumbe ni ngapi 😃
Pls explain 🤣🤣Ngoja nikae kimya...
Mitandao yote nne nne...Pls explain 🤣🤣
Kwahiyo nizitupe 😃 afu nije kukaa kwenuMitandao yote nne nne...
Wewe unaonaje?Kwahiyo nizitupe 😃 afu nije kukaa kwenu
Me sioni kitu, nakusikiliza 🤨Wewe unaonaje?
Muda huongea...Me sioni kitu, nakusikiliza 🤨
unajiongezea stress au unajiongezea uwanja mpana wa mawasiliano.Laini moja ,Vodacom niliona kumiliki laini nyingi najiongezea stress tupu zisizo na ulazima.