Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,383
- 7,978
Upo sahihi mkuu ushuhuda imenitoke ata mwezi aujaishaHuko mitaani tunaishi na vijana wa kila namna ila hawa vijana ikiwemo hawa wapiga mizinga ya buku ni hatari sana kwanini nasema ni hatari
Unavyotoa buku nakumpa mpiga mzinga sio kwa anashindwa kuipata hiyo pesa mpaka anakuomba ila hii ni njia ya vibaka wanayoitumia kujua kama wewe ni mwepesi kuingilika Yani akikupiga beto moja basi utakuwa mwepesi kutoa ulichonacho
Hasara nyingine ya hawa vijana wapiga mizinga unavyotoa pesa na kumpa tayari unakuwa unampa ramani kumkaribisha nyumbani kwako aje kuiba mana anajua ata ikitokea ukimkamata tayari wewe bro umeshamuonesha roho nzuri utamuonea huruma anaweza akaja yeye mwenyewe au akatuma wenzie
Tuwe makini na Hawa vijana wapiga mizinga midogo midogo
w ndo wale waleππMtu kakupiga mzinga ukiwa unapanda bac Arusha stend kuja dar na unaishi dar ,je huyo mpiga mzinga wa buku atanifatilia mpk dar aje aniibie au cyo mkuu...
Saidia unapoweza ,ukiona uwezi saidi kausha tu.
Natoa kwa wasiojiweza na walemavu,yatima na wajane kama neno la Mungu linavyofundisha
πππ
Mkuu uliadimika snaππMimi
π π π Wapiga mizingaa cyooow ndo wale waleππ
Hahaha hahaha niliwaachia uskani vijana wangu kina The Stress Challengerr na The Mongolian Savage. Leo nimerudi jamvin nimeshtuka asee ma Tawfiq na ma qauli thabeet za kutosha za Imaam Hussein ibn ali A.S kipenzi cha dhati yani themongolian kabadili kawa mshia. Ikabidi nimchomee kwa mods wakampiga ban.Mkuu uliadimika snaππ
Hahaha nimecheka kwa sautiMaghayo umerudi kaka.
Natambua uwepo wako sheikh wa mchongo maghayo
Tawfiqπ π π π π πHahaha hahaha niliwaachia uskani vijana wangu kina The Stress Challengerr na The Mongolian Savage. Leo nimerudi jamvin nimeshtuka asee ma Tawfiq na ma qauli thabeet za kutosha za Imaam Hussein ibn ali A.S kipenzi cha dhati yani themongolian kabadili kawa mshia. Ikabidi nimchomee kwa mods wakampiga ban.
adriz RRONDO dronedrake
Dah! bange mbaya sana , nilikuwa namripot Mongolian ila mods wakawa wanamchekea Leo nimefurahi nimekuta limekula ban. Sasa ukiendeleza ujinga wako na wewe utakula mvua ukose kichaka.Hahaha hahaha niliwaachia uskani vijana wangu kina The Stress Challengerr na The Mongolian Savage. Leo nimerudi jamvin nimeshtuka asee ma Tawfiq na ma qauli thabeet za kutosha za Imaam Hussein ibn ali A.S kipenzi cha dhati yani themongolian kabadili kawa mshia. Ikabidi nimchomee kwa mods wakampiga ban.
adriz RRONDO dronedrake
ndyooπ π π Wapiga mizingaa cyooo