Kuwa makini na mzigo wako unapofika Stendi ya Magufuli, unaweza kujikuta unaozea Segerea

watu baada ya kutoka polisi huwa wanakuja na stori nyingi sana za kishujaa
emoji28.png
emoji28.png
emoji28.png
,kazi kwako sasa kuzichambua.

mtu anaweza kukwambia,niliingia pale nikachimba mkwara mapokezi yote wakaingia chini ya meza,na kuanza kunitetemekea wananiomba msamaha.

huyo jamaa yako anauza bangi,asikupange kisa kaona una kichwa kikubwa.
Ni
Hapo unabambikiziwa tu
Alibambikiziwa wapi kijijini,stand au kituo cha polisi
Kushuka kwenye gari na mzigo wako, watu waje direct wakukamate. Mh. Kwani PGO inasemaje
PGO tena
 
Habari wadau..!

Hii imewakuta watu ninao wafahamu.

Ipo hivi unaweza ukawa umesafiri salama ila ukishuka tu kituo cha bus pale stand ya Magufuli unapokelewa moja kwa moja mpaka polisi post ukizingua kunyoosha mkono au maelezo unajikuta upo Ukonga, Keko au Segerea sijajua sasa kama ni ubambikiwaji kesi au ni coincidence inatokea.

Usiniulize inakuwaje:Jamaa anahadithia alienda kwenye msiba mkoani wakati wa kurudi akafungashiwa mizawadi ya ndizi na mazagazaga alipofika stand akasimamishwa na watu wanajiita polisi jamii wakawapakia na mizigo yao mpaka kituo cha polisi, polisi wakachana katikati ya kiroba wakakutana na kitu ya marijuana msala ndio ukaanzia hapo.

Je hii ni coincidence kwamba kuna wahuni walichanganya viroba wakabeba sio, utapeli mpya mjini au ubambikizwaji kesi za bangi???
Ndiyo maana yule mjinga alisema watu wote washukie hapo kumbe ndiyo agenda waliyokuwa nayo ya kuumiza wanyonge ili wapate rushwa
 
Kuna miaka fulani nlikuwaga nchi moja sasa nikawa nasafiri kwenda nchi jirani kufika border
Kwenye ukaguzi,midogi ikawa inanishangilia kuninusa ......
Nlikuwa nimevaa jeans ya mwana ....mwana alikuwa anavuta sana mi ashh(challas)
Ile nguo nliyovaa ilikuwa inanuka mi ashh tupu😂nkawekwa benchi pigwa maswali sema nlijielezea wakaelewa wakaniachia
Nkaendelea na safari yangu,ila kama mtu legelege unaweza kubaki

Ova
 
Kuna matatu;
1. kachanganyiwa
2. Kabebeshwa toka alipotoka
3. Ni kazi yake.

Pole sana kwa Mwamba, ila kwa kufuatwa moja kwa moja huo mzigo katoka nao mbali sana ama kwa namba 2 au 3
 
Ukikamatwa na bhange kilo 2 ukazina mahakamani kwamba sio kilo 2 ni 10 sheria inasemaje hapa
 
Back
Top Bottom