Kuwa introvert ni tabu sana!

Mimi nilikua sijulikani mtaani kama ni mtoto wa Ile nyumba...Ila dogo nae fatana nae anajulikana balaa enzi izoo..

Mimi huwa na marafiki Tena wachache Sana..nilikua sinaga ukaribu na wanawake zaidi ya ndugu na mama.
 
Mkuu Mimi Binafsi Nillikuwa Introvert Pure Huko Nyuma Nilikuwa Nakosa Ile Peace of Mind Haswa Nikikaa Sehemu Yenye Watu Wengi Yani Ilikuwa Nikikaa Peke Yangu Ndio Naenjoy Ilinicost Sana Sababu kuna opportunities kibao zinakupita sababu hujichanganyi na watu Nikaamua Kubadilika Japo Ilikuwa Ngumu Mno. Kwa sasa Najichanganya na Walimwengu lakini kwa Tahadhari Kubwa Loneliness Kills &TrustNobody
 
Kijana wangu ni introvert, nilipata kazi sana kumuelewa huko nyuma, nimekuja kuelewa kua ni intovert akiwa secondary school, yani ulivuoongea vyote kuhusu intovert ni kama unamjua mwanangu, yani umemsema yeye kila kitu, hadi nikahisi au ana tatizo anaficha. Now hua namuacha tu na mambo yake japo sometimes anakera sana, mtoto gani anapenda kua peke ake mala nyingi, busy na cm au computer au chumbani kwake anaangalia tv, but is not good kiukweli, hata akiwa na tatizo huezi jua
 
Hizo ni tabia zetu ndio maana nazijua!, utakereka sana tu ila yeye kwa raha zake...🀣
sema ndo hivyo kuna vitu inatakiwa tupunguze!.
 
Mimi nilikua sijulikani mtaani kama ni mtoto wa Ile nyumba...Ila dogo nae fatana nae anajulikana balaa enzi izoo..

Mimi huwa na marafiki Tena wachache Sana..nilikua sinaga ukaribu na wanawake zaidi ya ndugu na mama.
Ni hivyo yan,mara nyingi nikiongozana na dogo baadhi ya watu uwa wananiuliza kumbe huyu ni mwanao,mdogo wake ndio anajulikana mtaani,siku za karibuni ameanza tabia mpya hadi msosi anaenda kulia chumbani kwake,darasani si mzuri sana ila upande computer na simu yuko vizuri mno,anapiga hadi excel,nikimuuliza umejifunzia wapi anadai youtube
 
Introvert ?
sidhani Kama ungeweza kuandika hata p'graph 2
ndo nyinyi mnakariri ya kwamba introvert hawawezi kuwa na vipaji!, introvert hawezi kujieleza hivi uso kwa uso ila skills yakuandika ni viumbe wengine!.. huwezi ukaweza kila kitu na hauwezi ukashindwa kila kitu!..
introvert ukimuambia achague kuandika na kijielezea kwa mdomo atachagua kuandika!.

lakini kumbuka hichi kitu, binadamu anafundishika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…