Iwe ni social anxiety, au autism, antisocial au whatever
Wakimya wote waachwe waishi maisha yao, bila kulazimishwa kusocialize na watu. Sio lazima kusocialize, naongea hivi kwa sababu nimeona watu wakisemwa vibaya sana kwa ukimya wao na kutojichanganya na watu
Apparently being quiet and not bothering anyone, bothers people