Kuwa barmaid wa kiume ni kujidhalilisha tu

Toka nizaliwe sijawahi ona barmaid wa kiume. Iwe ni kwenye bar za uchochoroni au kwenye hotels za kitalii.
 
Huwa wanahudumia vizuri sana. Waache usiwachagulie kazi ya kufanya maana hawali kwako.
 
Leo nilikuwa nipo vizuri mfukoni pamoja na ugumu wa maisha kwa mwezi mara moja nikaona sio mbaya kwenda kupiga moja ya MOTO moja baridi, nikaenda Manzese Kuna bar inaitwa tip-top pub if iam not mistaken.

Kufika pale nasubiri aje muhudumu kama tamaduni zetu zilivyo ghafla nikaona anakuja mwanaume mwenzangu kunihudumia halloo nikijiskia vibaya Sana tena ajabu yupo peke yake wote wa kike.

Nilijiuliza maswali yafuatayo
1. Je elfu 70 inakidhi vipi mahitaji yake na hapa ni Dar?
2.Changamoto za wateja anahimili vipi?
3. Je hawezi hata kubeba kapu la msambaa atembeze karanga au mayai ya wakurya?

Mwanaume hutakiwi kuwa muhudumu wa bar, tafuta kazi za kufanya unasikia we jamaa wa tip-top

Unasema maid halafu tena unasema wa kiume, au huu ni uzi wa vichekesho?
 
Zote nilizowahi kutembelea mkuu. Sijawahi kukutana na barmaid wa kiume. Wewe ulishawahi kukutanao mkuu? Labda mtoa mada anamaanisha barman au bartender.
Tunazungumzia wahudumu wa bar kwenye hotel pia kuna bar, na kama umepanda ndege pia wahudumu ni jinsia zote.
 
Ushkute huyo muhudumu ndio C.E.O wa hiyo bar au ana uhusiano mkubwa na na mwenye bar.
Binafsi sioni ajabu kabisa kuhudumiwa na mhudumu wa kiume.
Nimewahi kwenda kwenye semina ya shirika moja kubwa la serikali nchini nikaona bosi mkubwa (nikimtaja kila mtu anamjua) kuna muda anawasaidia wahudumu kugawa maji kwa wahudhuriaji, hata mimi alinigawia.

Ajikwezaye hushushwa.
 
Leo nilikuwa nipo vizuri mfukoni pamoja na ugumu wa maisha kwa mwezi mara moja nikaona sio mbaya kwenda kupiga moja ya MOTO moja baridi, nikaenda Manzese Kuna bar inaitwa tip-top pub if iam not mistaken.

Kufika pale nasubiri aje muhudumu kama tamaduni zetu zilivyo ghafla nikaona anakuja mwanaume mwenzangu kunihudumia halloo nikijiskia vibaya Sana tena ajabu yupo peke yake wote wa kike.

Nilijiuliza maswali yafuatayo
1. Je elfu 70 inakidhi vipi mahitaji yake na hapa ni Dar?
2.Changamoto za wateja anahimili vipi?
3. Je hawezi hata kubeba kapu la msambaa atembeze karanga au mayai ya wakurya?

Mwanaume hutakiwi kuwa muhudumu wa bar, tafuta kazi za kufanya unasikia we jamaa wa tip-top

Hakuna kudhalilika au uchaguzi wa Kazi kama inafika saa 3 asubuhi ujui mke na watoto watakula nini mchana, unasumbuliwa na Kiburi tu!
 
Nafikiri mpaka sasa kwa comment hizi bila shaka mwanzisha uzi kashajua kuwa yeye ni mpumbavu wa kiwango sawa na kilomita toka Kagera - Dar.
sana,wale jamaa huwa wako poa sana unaweza hata ukapiga nao story wakati wanakuhudumia,mimi nawaheshimu sana na wanavaaga smart
 
Leo nilikuwa nipo vizuri mfukoni pamoja na ugumu wa maisha kwa mwezi mara moja nikaona sio mbaya kwenda kupiga moja ya MOTO moja baridi, nikaenda Manzese Kuna bar inaitwa tip-top pub if iam not mistaken.

Kufika pale nasubiri aje muhudumu kama tamaduni zetu zilivyo ghafla nikaona anakuja mwanaume mwenzangu kunihudumia halloo nikijiskia vibaya Sana tena ajabu yupo peke yake wote wa kike.

Nilijiuliza maswali yafuatayo
1. Je elfu 70 inakidhi vipi mahitaji yake na hapa ni Dar?
2.Changamoto za wateja anahimili vipi?
3. Je hawezi hata kubeba kapu la msambaa atembeze karanga au mayai ya wakurya?

Mwanaume hutakiwi kuwa muhudumu wa bar, tafuta kazi za kufanya unasikia we jamaa wa tip-top
Eti barmaid wa kiume hahaaaa
Au ulitaka kumaanisha barman?
 
we jamaa wewe.....comments zinatosha kuonyesha wewe ni mutu aina gani.....jirekebishe...au kaa kimya...
 
Back
Top Bottom