Leseni zaidi ya mia tatu zimetolewa na Jiji la Denver katika jimbo la Colorado kuanzia majuzi za kuuza bangi na kwamba sasa ni ruksa kwa yeyote mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea kuvuta bangi katika jimbo hilo. Inasemekana kuwa kwa utafiti uliofanyika kisayansi ni kwamba bangi inaweza ikasaidia sana katika kutibu maradhi kadhaa na pia husaidia kuwapatia watu usingizi mnono. Upepo huu ukifika kwetu hapa tutakuwa tumekwisha na hasa katika hali hii ya ugumu wa maisha. Tukiwa na wabunge wengi wanaovuta bangi mswada huu utapita kilaini. Tujihadhari!!!
Umeripoti vizuri.
Lakini mtazamo wako ndio umeharibu kabisaa. wenzenu walioendelea kitechnogy, kwa kutumia ripoti za kisayansi wameridhia ivutwe kwa anayetaka na isiwe kosa, wewe unatutisha eti "tujihashari"
mimi naungana na kikwete aliyeenda kuchekiwa afya yake na wavuta bange kujihadhari na wewe.
ref: BUSH DOCTOR by Peter tosh.
lyrics Bush Doctor
Warning!
Warning! The Surgeon General warns
Cigarette smoking is dangerous, dangerous
Hazard to your health
Does that mean anything to you
To legalize marijuana
Right here in Jamaica
I`m say it cure glaucoma
I man a de Bush Doctor
So there`ll be
No more smokin and feelin tense
When I see them a come
I don`t have to jump no fence
Legalize marijuana
Down here in Jamaica
Only cure for asthma
I man a de Minister(of the Herb)
So there`ll be no more
Police brutality
No more disrespect
For humanity
Legalize marijuana
Down here in Jamaica
It can build up your failing economy
Eliminate the slavish mentality
There`ll be no more
Illegal humiliation
And no more police
Interrogation
Legalize marijuana
Down here in sweet Jamaica
Only cure for glaucoma
I man a de Bush Doctor
So there be
No more need to smoke and hide
When you know you`re takin
Illegal ride
Legalize marijuana
Down here in Jamaica
It the only cure for glaucoma
I man a de Minister