CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,074
Leseni zaidi ya mia tatu zimetolewa na Jiji la Denver katika jimbo la Colorado kuanzia majuzi za kuuza bangi na kwamba sasa ni ruksa kwa yeyote mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea kuvuta bangi katika jimbo hilo. Inasemekana kuwa kwa utafiti uliofanyika kisayansi ni kwamba bangi inaweza ikasaidia sana katika kutibu maradhi kadhaa na pia husaidia kuwapatia watu usingizi mnono. Upepo huu ukifika kwetu hapa tutakuwa tumekwisha na hasa katika hali hii ya ugumu wa maisha. Tukiwa na wabunge wengi wanaovuta bangi mswada huu utapita kilaini. Tujihadhari!!!
Mtakuwa mmekwisha kivipi, fafanua!