Kuvua pichu pasipo kupenda

Nakumbuka nilimsikiliza Faraja robo kwenye MKASI, alipotoa stori yake....jinsi alivyokutana na waubani wake (honorable)...Hivi tuwe wakweli, yule mshikaji ukimchukua ukamvalisha magwanda ya kk security....asimame getini.....hayo macho ya mrembo Faraja yangeona "waubani" ama ?

Kwenye opportunity na pesa mnavua tu, hakuna kupenda wala nini......kupenda mnaFAKE coz mna vipaji hivyo.

Wanaume ni waongo lakini uongo wa wanawake ni wa kipekee....na usiombe mwanaume yakukute...unamlea mtoto/watoto sio wako...mtoto wa kike ndoa miaka arobaini, macho makavu.

.....YOU ARE TOO DAMN LIARS AND FAKERS......hata hamna haja ya kubishana na nyie.
 

Mioyo yenu mbona inabadilika kirahisi tu kwa pesa?
 
kama umpendi uwezi mvulia pichu hata kama ana kitu nitamzungusha mpaka anachukia hiyo kitu na nikienda kwake nakuwa period that only

haina shida hata ukija nakidonda tunakoroga tope.

Tigo nayo itakuwa period?? ukiingia kwenye 18 za wabishi huchomoki aiseee
 
hakuna siku mwanamke akafanya maamuzi kama maamuzi kweli,

mostly huwa yana doubts nyingi mno after results na hata before results.

ulizia kwa jirani yako atakwambia namaanisha nini!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kama umpendi uwezi mvulia pichu hata kama ana kitu nitamzungusha mpaka anachukia hiyo kitu na nikienda kwake nakuwa period that only

Kama kuna mtu unamfanyiaga hivi huyo mtu ni mbulula sana. Yani mi ntakutega na utategeka tu. Mwanamke mwalimu wao ni kipofu.
 
My question is why?

Who do all this if you don't feel the guy?

Were you raped? Were you coerced, No. Then what?
 
Eee hii walevii na wapenda kununuliwa bia za bure mbona wanavuaa tuuu tena hadharaniii
 
hv umeolewa au? kama hujaolewa au hata kama umeolewa ujue MUNGU hapendi maswala ya mahusiano kabla ya ndoa jizoeze kupendendelea ibada na kusoma biblia mawazo kama haya yatapotea na utakuwa mwema tena.......karibu ibadani jumamosi kanisani.
 

Hahahaaaaaa mkuu... mie nimecheka hilo jina lako na haya uliyoandika hapa...
 
kama umpendi uwezi mvulia pichu hata kama ana kitu nitamzungusha mpaka anachukia hiyo kitu na nikienda kwake nakuwa period that only

Mama watoto Wote uliowavulia pichu uliwapenda ?🙄:what:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…