Aaah Maelezo mngi mno
Umetokwa na povu jingi sana mdomoni,sema kwa kifupi,rais wenu amepasuliwa BUSHA (KENDE) sema amechoka kukaa na mzigo,lakini huo ndo ufahari wa watu wa pwani.(WASWAHILI)
Tezi dume ndio busha sema akiugua mtu wa kawaida wanasema busha akiugua kiongozi tezi dume ha ha ha ha ha mimi ndivyo nilivyoelewa wengine wanaweza kuongeza kadri ya ufahamu wao.