Kuvimba kwa Tezi Dume (Benign Prostate Hyperplasia BPH) Featured

Kuvimba kwa Tezi Dume (Benign Prostate Hyperplasia BPH) Featured

Habari Wana Jamiiforums

Moja kwa moja twende kwenye mada

Baada yakupima kimoja Cha ku-Scan Mwili mzima ninegundulika ninatatizo kwenye Tezi Dume yangu ina'maambukizi ya bakteria...

Mara kadhaa nimepima kipimo Cha mkojo nikaambiwa Nina U.T.I lakini haaishi kila nikitumia dawa inajirudia Tena nikapata ushauri niende kikapime kipimo Cha ku-Scan Mwili Nikapewa majibu kuwa kinachonisumbua Si U.T.I Bali nitezi dume yangu inashambulia na bakteria Jeee ni antibiotics gani nikitumia itanisaidia kutibu hili tatizo....???
 
Mkuu Pole sana uanyo Maradhi ya
Maambukizi Sugu ya tezi dume (Chronic bacterial prostatitis)

Aina hii ya prostatitis huonekana chini ya silimia 5 ya wagonjwa wote wa maambukizi ya tezi dume ambayo hayasababishwi na tatizo la uvimbe katika tezi dume.Maambukizi sugu ya tezi dume ni nadra sana kutokea na husababishwa na bakteria aina ya E-coli.Maambukizi haya hayana dalili wala viashiria vyovyote isipokuwa tu pale ambapo kutakuwa na kuenea kwa maambukizi kwenye kibofu cha mkojo.

Vipimo vya uchunguzi

Kipimo cha kuangalia vimelea vya bakteria katika mkojo (urine for culture and sensitivity)

Kipimo cha kuangalia vimelea vya bakteria kutoka katika majimaji yanayotoka kwenye tezi dume (Expressed Prostatic Secretions au EPS).Majimaji haya hupatikana wakati wa kufanya kipimo cha DRE ambapo daktari atagandamiza kidole chake kwenye tezi dume ili majimaji haya yatoke.Pia majimaji haya yanaweza kupatikana baada ya daktari kufanya kipimo hiki cha DRE kama hapo awali daktari alishindwa kuyapata haya majimaji.

Kipimo cha kuangalia kiwango cha PSA kwenye damu kama nilivyoeleza hapo awali.Kawaida kiwango cha PSA huwa juu.

Semen analysis - Kipimo cha kuangalia shahawa za mwanamume.Katika kipimo hiki chembechembe za usaha (pus cells) zitaonekana kwa wingi kuliko kiwango cha shahawa, chembechembe za shahawa zinazoonekana hapa hazina uwezo (non motile semen) wa kusafiri kwenda sehemu nyingine yoyote.Pia seli aina yaepithelial huonekana hapa.

What are the symptoms of chronic bacterial prostatitis?
  • An urgent need to pee, often in the middle of the night.
  • Painful urination.
  • Pain after you ejaculate.
  • Lower back pain.
  • Rectum pain.
  • A “heavy” feeling behind your scrotum.
  • Blood in your semen.
  • A urinary tract infection (UTI)

Mkuu Tiba yake ipo tutafute kwa wakati wako ili tupate kukutibia amradhi yako upate kupona.
 
Back
Top Bottom