Kuvimba kwa Tezi Dume (Benign Prostate Hyperplasia BPH) Featured

Kuvimba kwa Tezi Dume (Benign Prostate Hyperplasia BPH) Featured

Tehe tehe,what are you trying to tell us???mkulu ana busha???hahahaa mbavu zangu mie....
 
Dinazarde

Lool ..lugha kali sana. . Twaita DRE .. "digital rectal examination" .. nilipokuwa junior Dr muhimbili nlikuwa napata shida kuwaelelezea wazee kwamba nataka kuwafanyia hio exam .. dah kibasila ward 14 hiyo. . Anyways wengi wanakubali ..ni mzee mmoja tu mpemba aligoma. . Nikampa discharge hapohapo
 
Last edited by a moderator:
lol!!!! hahahahahaha hukawii kurushiwa matusi tena ya nguoni

Lool ..lugha kali sana. . Twaita DRE .. "digital rectal examination" .. nilipokuwa junior Dr muhimbili nlikuwa napata shida kuwaelelezea wazee kwamba nataka kuwafanyia hio exam .. dah kibasila ward 14 hiyo. . Anyways wengi wanakubali ..ni mzee mmoja tu mpemba aligoma. . Nikampa discharge hapohapo
 
ingeachwa pengine ndio ingekuwa busha.wataalamu watakuja kutujuza.
 
Jamani mwenzenu wiki ya pili sasa nasumbuliwa na maumivu ya tezi dume, hivi nini kinasababisha huu ugonjwa n' nani anajua tiba yake?

Wasiliana na Mr Presdent JK yuko kwa Mr Obama anarekebishwa hiyo mambo kama yako.
 
mi nadhani una shida na mengine tu....

10054.jpg

kuna magonjwa mengine mwanaume ukiyapata huzua balaa la nafsi haswa...
 
Kumbe tezi dume ni prostate...thank you. Nimeona ndo maradhi alokuwa nayo mkulu wa kaya. Haiwezekani busha ni sawa na tezi dume, unalijua busha wewe.........
 
Back
Top Bottom