Kuvimba kwa Tezi Dume (Benign Prostate Hyperplasia BPH) Featured

Kiswahili rahisi wanaita NGILI inaweza kukutokea sehemu ya juu kwenye kinena au mahali mavuzi yanapo anzia kuota pia inaweza kushuka kwenye kolodani yaani kwenye pumbu kwa ndani cyo nje hivyo inamadhala ukichelewa tiba inauwa vitu vya kuepuka kutumia maji barid kwa kunywa au kuoga we kama nimugonjwa wa NGILI.
 
Wadau !
Habari zenyu .
Kiukweli kiswahili cha kibaolojia hakijawahi kuwa na urafiki nami .
Sielewi TEZI DUME ni tezi gani .

Aidha sielewi linahusika kuwepo pande ipi ya mwili wa Binadamu .
Naomba kuelimishwa .
Wewe hujui tezi dume? Ni litezi linatokea mkono wa kulia halafu linavimba sana na maumivu makali.

Tezi jike hutokea mkono wa kushoto, uvimbe huwa mdogo na maumivu kidogo.

Hayo ndo matezi dume na jike. Usikonsoe.....
Kiongozi mwanawao , asante kwa elimisho .
But hujanikidhisha kuelewa.
Tezi mkono wa kushoto (kama usemavyo)
Sasa mkono wa kushoto kwapani? Kiwikoni ?
Kiganjani ?
Vidoleni ?
Ni mgolo.........................soma hapo
Uvimbe wa tezi dume, athari zake-2 - mwanzo - mwananchi.co.tz
 
mara moja kwa mwaka, nenda hospital dokta anatia dole kwenye puru kuangalia kama mambo swali, wakiligundua mapema ni rahisi kutibia kabla alijaleta madhara makubwa, wanaume wenzangu hizo mila na tamaduni za kuogopa kutiwa vidole mziondoe, twendeni hospital mara kwa mara kuchunguza afya zetu
 
Jamani mwenzenu wiki ya pili sasa nasumbuliwa na maumivu ya tezi dume, hivi nini kinasababisha huu ugonjwa n' nani anajua tiba yake?
 
Omba msaada pale magogoni. Utapelekwa USA haraka kuliko kuliko ujuavyo kwani wanahitaji wa kufanyia mazoezi ya upasuaji. Usiombe likukute hilo gonjwa akiisha kurudi nyumbani.
 
Sasa kwanini umejiita kende ...au we unalo moja?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaaaaaa...una damu nzuri unaumwa ugonjwa mmoja na pro jk
 

Attachments

  • 1415652281736.jpg
    1415652281736.jpg
    27.3 KB · Views: 3,813
Back
Top Bottom