Kuvamiwa kwa Mzee wa Upako, Askofu na Mchungaji mbaroni

Ni muendelezo wa Tuhuma za viongozi Makanisa wa Kiuroho
Kimataifa;
Mchungaji Bil Grahams ni Bilionea amekuwa tajiri kuptia waumini wake, ana ndege binafsi kama Raisi na kanisa amelirithisha kwa mtoto. Marekani wanapata pesa kupitia kwake na kufumbia macho mambo yake.
TB joshua ni Bilionea kupitia wafuasi maskini. Alipewa kibali cha jengo la ghorofa tano akajenga nane, likaporomoka na kuua 116. Sasa Ana kesi ya kujibu mahakamani na anaweza kufungwa. Nigeria inapata pesa za watalii wa kidini kupitia kwake.
Mchungaji Gilbert Deya Mkenya tajiri amejificha London, yeye na mkewe wana kesi ya kuiba watoto wachanga Kenya, kuwapatia waumuni wagumba kwa kisingizio cha miujiza. Anatakiwa mahakamani Kenya kujibu mashtaka. Pia amemnyanyasa Kingono msichana wa miaka 14.
Tanzania;
Kiongozo wa Makanisa ya Kiuroho, mfano Getready Rutare wanawashirikisha wa-Kongo man kwenye biashara za kusafirisha binadamu na nyinginezo.. Ni bilionea na wanalaghai maskini kutumia NGO ya yatima na dirisha la siasa kupata mapesa /kuhadaa umma.
Mch Fuata, ana laghai waumini, kuchukua viwanja mpaka vya beach, anamiliki ardhi Sumbawanga na anamiliki benki yake. Ana migogoro na kesi ya ardhi/ unyumba wa watu.
Mch Yusuf Kwajina, anamiliki magari ya lukuki ya kifahari - FOGO la Kivita au Amercan Hummer , pia helikkopta binafsi na anaishi maisha ya starehe na anamiliki majumba ya maghrofa (Global Publisher).
Mch. Zake Kobe, Jaaji wa Mahakam ameripotiwa akisema kanisa ni yake mali ni yake, anachukua 10% pensheni ya waumini maskini, anapokelewa Burundi na JNIA kama Raisi. Waumini wamemfikisha mahakamani kudai chao.
Wengine: Huko Tegeta na kwinginepo wametuhumiwa kushiriki biashara ya Mihadarati.
Wale Wachungaji wa DECI nao wameshtakiwa kwa kuwaibia waumini maskini.
Mzee Upapako alisema Kanisa lake lingekuwa barabarani wenzake wangemkoma kwani angewaazoa waumini wote !
Viongozi hawa wanalichafua kanisa, wamwinue na kumweka Mungu juu badala ya kujiinua wenyewe na kutafuta sifa na umaarufu duniani.

Woote uliowataja hapo juu na kuna wengine wengi tu, kwa nionavyo mimi, hao sio watumishi wa Mungu ninaye mjua. Bali nadhani ni mungu wa ufalme wa giza (shetani).

Mtumie Roho Mtakatifu utatambua ukweli. Watu wengi hukosa maarifa na kuwaamini hawa matapeli wakubwa, na wanaokubalika na mamlaka za nchi hata huko Nigeria, Kenya, utapeli wao hauwapingwi na sheria za nchi.
 
Mtashindana na watumishi wa Mungu wa kweli; lakini HAMTASHINDAA !
Mungu akisema "YES" hakuna shetani wa kuzuia "NDIYO" !
 
Ni muendelezo wa Tuhuma za viongozi Makanisa wa Kiuroho
Kimataifa;
Mchungaji Bil Grahams ni Bilionea amekuwa tajiri kuptia waumini wake, ana ndege binafsi kama Raisi na kanisa amelirithisha kwa mtoto. Marekani wanapata pesa kupitia kwake na kufumbia macho mambo yake.
TB joshua ni Bilionea kupitia wafuasi maskini. Alipewa kibali cha jengo la ghorofa tano akajenga nane, likaporomoka na kuua 116. Sasa Ana kesi ya kujibu mahakamani na anaweza kufungwa. Nigeria inapata pesa za watalii wa kidini kupitia kwake.
Mchungaji Gilbert Deya Mkenya tajiri amejificha London, yeye na mkewe wana kesi ya kuiba watoto wachanga Kenya, kuwapatia waumuni wagumba kwa kisingizio cha miujiza. Anatakiwa mahakamani Kenya kujibu mashtaka. Pia amemnyanyasa Kingono msichana wa miaka 14.
Tanzania;
Kiongozo wa Makanisa ya Kiuroho, mfano Getready Rutare wanawashirikisha wa-Kongo man kwenye biashara za kusafirisha binadamu na nyinginezo.. Ni bilionea na wanalaghai maskini kutumia NGO ya yatima na dirisha la siasa kupata mapesa /kuhadaa umma.
Mch Fuata, ana laghai waumini, kuchukua viwanja mpaka vya beach, anamiliki ardhi Sumbawanga na anamiliki benki yake. Ana migogoro na kesi ya ardhi/ unyumba wa watu.
Mch Yusuf Kwajina, anamiliki magari ya lukuki ya kifahari - FOGO la Kivita au Amercan Hummer , pia helikkopta binafsi na anaishi maisha ya starehe na anamiliki majumba ya maghrofa (Global Publisher).
Mch. Zake Kobe, Jaaji wa Mahakam ameripotiwa akisema kanisa ni yake mali ni yake, anachukua 10% pensheni ya waumini maskini, anapokelewa Burundi na JNIA kama Raisi. Waumini wamemfikisha mahakamani kudai chao.
Wengine: Huko Tegeta na kwinginepo wametuhumiwa kushiriki biashara ya Mihadarati.
Wale Wachungaji wa DECI nao wameshtakiwa kwa kuwaibia waumini maskini.
Mzee Upapako alisema Kanisa lake lingekuwa barabarani wenzake wangemkoma kwani angewaazoa waumini wote !
Viongozi hawa wanalichafua kanisa, wamwinue na kumweka Mungu juu badala ya kujiinua wenyewe na kutafuta sifa na umaarufu duniani.
wewe ni mfu, uliyekufa roho na mwili, unahitaji kufufuka. macho yako ni kipofu na wewe ni kipaza sauti cha shetani mwenyewe. Mungu akusaidie kwasababu shetani amevaa mwili wako, wala sio wewe.
 
Mimi nadhani wewe ndiye uliyekufa ufahamu ndio maana unamtafsiri hivyo huyu jamaa ambaye ana kila sababu za kutowaamini hawa watumishi wa "Roho Mtakavitu". Kama yote wanayofanya matapeli hawa unayaona sahihi basi jiandae kwenda mbinguni.
 
Simple way ya kumtambua mtumishi wa kweli wa Mungu......,
1/Asiweke mali mbele,aikatae dunia na thamani zake zote,afanye kazi ya Mungu kwa Manufaa ya wote

2/Awe na Hekima

3/Afundishe Biblia na Kufafanua neno la Mungu na sio kutoa maelezo ya malumbano na mashindano na wachungaji wenzake

4/Aishi kwa nguvu za Mungu na asiwe tayari kumiliki mimali mingi kwani sote tunafahamu ule mstari usemao Huwezi kutumikia mabwana wawili yaani Mungu na Mali.

5/Asitake kujiaminisha kwa watu/Asifanye miujiza yake kuwa ndio kitu pekee cha kumfanya watu wamwamini.. afanye kazi ya Mungu watu walioitwa na Mungu watamwelewa na kumfata.
 
Mimi nadhani wewe ndiye uliyekufa ufahamu ndio maana unamtafsiri hivyo huyu jamaa ambaye ana kila sababu za kutowaamini hawa watumishi wa "Roho Mtakavitu". Kama yote wanayofanya matapeli hawa unayaona sahihi basi jiandae kwenda mbinguni.
uyo mtumishi unayesema mtumishi ndio huyo karusha risasi kwa vijana majuzi hapa, na ndio huyo anayetukana madhabahuni, tunamsikia, tunafungulia chanel ten mara nyingi tunamwona...mtumishi gani alishawahi kutukana watu madhabahuni kuwa" PUMBAVU", SHENZI SANA", wanaosema mimi nitashindwa atakayeshindwa ni babu yako"...n.k, ni mtumishi mmoja tu ambaye jina lake unalijua. hakuna mwingine tangu nizaliwe niliwahi kusikia akitukana matusi kama hayo hadharani. hata waislam hawatunaki kama huyu baba. sijui labda ndio ufunuo wake sasa tusemeje. kama ni mtumishi wa Mungu atadumu, ila kama si mtumishi wa Mungu atakuja kuaibika siku moja hadi wewe hapo unayemtetea utakosa cha kuongea.
 
Back
Top Bottom