Awali ya yote niwasalimieni nyote.
Nilikuwa na safari ya kutoka sokoni hapa mwanza mjini na niliitaji kwenda hadi Kilimahewa nikaona nipite Makoroboi ili nipande hiace pale karibu na mataa.
Nimekutana na dhahama na kunyanyapaliwa kusiko na mfano mara niitwe teja,fisadi wengine wananisukuma bila sababu kisa nimevaa tisherti ya Ccm,kosa langu ni lipi hadi kufikia hata wenye hiace wanakataa nisipande gari yao?
nimepatwa na hasira sana!
jaribu kupita nazo aurusha uone cha moto...
Hii ni stori tuuu... unataka tuambia toka 2010 haujaivaaa?????? acha zuga...wala siamini kama kuna siasa uchwara namna hii???? Watz tunahitaji kufundishwa nini maana ya siasa... tunahitaji hoja zenye tija na sio misigano ya nguo...
Join Date : 6th October 2012
Posts : 270
Rep Power : 399
Likes Received60
Likes Given0
Hata humu wewe ni wa kupigwa mawe tu.Hapo tu kwenye red napata picha ya tabia yako.