SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,904
Kweli hapo kuna bwabwa Huyo alopandisha Tshirt na wasi wasi nae.
Kwa mujibu wa utafiti nilioufanya ni kuwa asili ya mlegezo ni ushoga. Staili hii ya kufunga mlegezo zilianza kwenye Nchi za mangaribi na baadae kuigwa na malimbukeni wa kiafrica ikiwemo Tz bila kutafakari. Vijana wengi wa pwani ni waathirika wakubwa wa uvaaji huu wa ajabu kabisa. Na hata ktk pwani nyingi kwa mfano Mombasa Kenya, Tanga na Mkoa wa pwani ndio sehemu kubwa ambazo vijana wengi wanajihusisha na ushoga. Biashara ni matangazo na ukifunga suruali nusu ---- unatangaza kuwa wewe ni shoga. Nawaasa vijana wajirekbishe na kuacha tabia hii ya kuonyesha makalio, kwani kufanya hivyo ni sawa na kujitangaza kuwa wewe ni pilau roast. Vijana wengi tuhakikishe kuwa tunapambana na hawa wajinga wachache wanao udhalilisha uanaume wetu. Michango yenu wana jf ni muhimu sana ili kutokomeza huu upuuzi unaokera sana ktk jamii. Nawasilisha.
Wacha umbulula wewe
Unaandika utumbo hapa kupoteza wakati wa wati bure.
We umefanya uchunguzi gani!!
Na uma elimu kiasi gani ya kufanya uchunguzi!
Au ulidhani kwenda kuongea na walevi wa gongo na wale wavuta mabangi ni uchunguzi? ?
Ohh pwani. Ohhh mombasa! We umeona hao mashoga wangapi huko pwani?!?
Na aliyekwambia hao wanaolegeza suruali wana dalili za ushoga nani??
Nyamafu wahedi.
Wale viongozi wa makanisa wanaofunga ndoa za kiliberali NA WAO HUWA WANAVAA HUO MDEBWEDO? NA HIZO SURULIA KM WAMEJINYEA??
Jitu kuuubwa linakuja andika mapovu yanayonuka hapa. Halafu anayaita "utafiti"
Mfnsssssssssssss!
Pandisha suruali pimbi wewe. Nini sababu ya wewe kulegeza hiyo suruali?. Hizo ni dalili ya kwamba wewe ni msosi.
JF is never boring. Thanks to its founder(s).
Teh teh teh teh!
Umekula ile bangi mbichi bila hesabu!
Halafu inakutuma kuuita huu utumbo wako "uchunguzi"!!
Teh teh teh teh!
Kwa nini usichunguze kuna nini kwenye bangi kwanza.
Halafu kwa ufahamu tu! Mi silegezi suruali wala sijatetea huo upuuzi ispokuwa ninakufahamisha tu kuwa huo utumbo uloandika hapo juu. Ni mapovu ya uongo wa mvuta bangi!
amini tu mkuu.
Wacha umbulula wewe
Unaandika utumbo hapa kupoteza wakati wa wati bure.
We umefanya uchunguzi gani!!
Na uma elimu kiasi gani ya kufanya uchunguzi!
Au ulidhani kwenda kuongea na walevi wa gongo na wale wavuta mabangi ni uchunguzi? ?
Ohh pwani. Ohhh mombasa! We umeona hao mashoga wangapi huko pwani?!?
Na aliyekwambia hao wanaolegeza suruali wana dalili za ushoga nani??
Nyamafu wahedi.
Wale viongozi wa makanisa wanaofunga ndoa za kiliberali NA WAO HUWA WANAVAA HUO MDEBWEDO? NA HIZO SURULIA KM WAMEJINYEA??
Jitu kuuubwa linakuja andika mapovu yanayonuka hapa. Halafu anayaita "utafiti"
Mfnsssssssssssss!
Huo ndo ukweli acha Kufoka. Kama a great thinker ni mmoja wapi wa hao watu kama wewe unatakiwa uache huo ujinga na siyo Kufoka fika hapa