Kuvaa Mlegezo Ni Fashion Au Uhuni?

yaani mambo ya kuiga haya ni matatizo matupu
kwani ukivaa kawaida kuna ubaya gani mpaka hivyo
mambo ya aibu tupu jamani
KUBALI KUBADILIKA JAMANI
 
Dah!! Kiukweli WTZ tumekuwa wajinga sana na hasa vijana wa sasa. Tumekuwa na tabia ya kuiga mambo bila kujua chanzo chake. Kuvaa kata K kwa sasa ndo imekuwa fassion ya vijana. Kijana yeyote asipovaa mlegezo anaona kuwa atakuwa mshamba mbele ya vijana wa mjini. HUU NI UJINGA kutokujiamini na kutojitambua kama vijana. Kijana yeyote mwenye kujitambua mwenye akili timamu na anayejiamin hawezi kuvaa mlegezo(kata K). Ninajiuliza hivi taifa letu miaka 20 ijayo litakuwaje??? Maana 65% ya vijana wanavaa mlegezo alimaarufu KATA K. Je, watoto wao watakuwa na maadili kama vijana wa zamani au itabaki historia tu?? VIJANA BADILIKENI NA MJIHESHIMU kuvaa mlegezo sio ujanja bali ni ujinga tu.
 
mlege siyo fashion wala sio uhuni ni wearing style ya mtu inayomjengea tabia au mazoea ya kila nguo atakayovaa suruali lazima ishuke kiasi flani!
 
Back
Top Bottom