Kweli aiseee....
Mlegezo siachi na ukitaka sema utakalo bwana, kwani me ndo najua ukweli wake
Uwiii.....umegoma kabisaaa....
Kwa hiyo akina lil wayne mashoga mana vijana wengi wa africa wameiga kutoka kwa black hip hop artist wa marekani!! Na mbona mashoga wa bongo hawavai milegezo its free world acha watu waishi watakavyo as long ww hawakudhuru! Valia hata shingoni
Mlegezo siachi na ukitaka sema utakalo bwana, kwani me ndo najua ukweli wake
Matangazo ya biashara. weka na picha tuone basiii
Pandisha suruali mkuu
Kwa mujibu wa utafiti nilioufanya ni kuwa asili ya mlegezo ni ushoga. Staili hii ya kufunga mlegezo zilianza kwenye Nchi za mangaribi na baadae kuigwa na malimbukeni wa kiafrica ikiwemo Tz bila kutafakari. Vijana wengi wa pwani ni waathirika wakubwa wa uvaaji huu wa ajabu kabisa. Na hata ktk pwani nyingi kwa mfano Mombasa Kenya, Tanga na Mkoa wa pwani ndio sehemu kubwa ambazo vijana wengi wanajihusisha na ushoga. Biashara ni matangazo na ukifunga suruali nusu ---- unatangaza kuwa wewe ni shoga. Nawaasa vijana wajirekbishe na kuacha tabia hii ya kuonyesha makalio, kwani kufanya hivyo ni sawa na kujitangaza kuwa wewe ni pilau roast. Vijana wengi tuhakikishe kuwa tunapambana na hawa wajinga wachache wanao udhalilisha uanaume wetu. Michango yenu wana jf ni muhimu sana ili kutokomeza huu upuuzi unaokera sana ktk jamii. Nawasilisha.
Mlegezo siachi na ukitaka sema utakalo bwana, kwani me ndo najua ukweli wake
Biashara matangazo