Kuvaa Mlegezo Ni Fashion Au Uhuni?

Jamii inalichukuliaje? Acha Picha Ziongee

IMG_0562.jpg



heleni+na+mlegezo.JPG



sagging-pants.jpg




374768_10150434460804198_781164197_8345252_1183598905_n.jpg



448.jpg

Ushamba na ulimbukeni. Mabasha wako katika matangazo ya biashara, wanauza TIGO, express yourself extremely!!
 

Picha ya zamani sana hii ya 2008,lisa jensen,jokate kidoti na kinje pembeni kapaki vogue!!

••••••
••••••
Kwetu huku ni ushamba tu kuiga mambo wasiyoyajua,ila kwa wasanii wa mtoni ni matangazo ya biashara kuonyesha chata ya mavazi wanayovaa either jeans au pichu(kufuli/boxer)
 
funny thread. possible reasons include
  • kuonesha lebo ya undies. (wanamuziki na mastaa wa nje, vijana)
  • wafungwa gerezani
  • wauza tigo wanatangaza biashara
  • just for lulz (vijana wadogo)
sagging if done should only reach the waist band of your undies, anymore and it just looks bad.
 
pull up.jpg pull up.jpg2.jpg pull up.jpg3.jpg pull up.jpg4.jpg
Tazama hawa vijana wanakoendea siko kabisa halafu hili nitatizo la dunia nzima siyo kwetu tanzania bali kote ulimwenguni!!
 
wadhungu Wanaiita SAGGIN anyone ameshasoma hilo neno backwards, those white bastards
 
Back
Top Bottom