Kuvaa Mlegezo Ni Fashion Au Uhuni?

Mnh ajabu Allien kuweka uzi wa picha za wanaume. Afadhali akina dada/mama watapumzika kidogo na madongo ya washabiki wako.
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh........

82486223.jpg

Kwa hiyo anayevaa hivyo ni ubwabwa?mmmmmh kumbe...na anatangaza biashara yake?Yakheeee vipi ubwabwa?/////
 
Mbona inajulikana wanaume wanaovaa hivi ni mashoga. Hili lilianzia America katika magereza yao. Hivyo hao wenzenu wapo kazini wanatangaza biashara.

100% true,
mi cna laziada ngoja nikapige lunch kabla cjaanza wkend....
 
Ni uthibitisho kuwa mtu huyo alishawahi kufungwa, akashughulikiwa na wanaume wenzake huko jela, kutokana na maisha ya gerezani, amepungua hivyo nguo alizokuwa anavaa kabla ya kwenda hazimtoshi na hana pesa ya kununua nyingine.
 
attachment.php
 

Attachments

  • agness_masogange.jpg
    agness_masogange.jpg
    23.2 KB · Views: 909
  • jinikabula1.jpg
    jinikabula1.jpg
    36.8 KB · Views: 528
  • Anita Joseph.jpg
    Anita Joseph.jpg
    36 KB · Views: 1,086
  • Jack.jpg
    Jack.jpg
    51.2 KB · Views: 525
  • SDC11430.JPG
    SDC11430.JPG
    66.6 KB · Views: 218
  • 4.jpg
    4.jpg
    45.3 KB · Views: 562
  • 3 (1).jpg
    3 (1).jpg
    38.7 KB · Views: 997
  • 429487_314189855295907_100001146857506_842668_2103892233_n[2].jpg
    429487_314189855295907_100001146857506_842668_2103892233_n[2].jpg
    49.3 KB · Views: 499
  • 12.jpg
    12.jpg
    17.9 KB · Views: 493
  • 533448_255800311175880_242064932549418_554313_1589308606_n.jpg
    533448_255800311175880_242064932549418_554313_1589308606_n.jpg
    110.4 KB · Views: 510
uvaaji uu umegawanyika ktk makundi 2 tofauti,wenye elimu ila haiwsaidii kwani wanahisi nao ni wa marekani hasa wasanii karibu duniani kote,pili wale wenzetu wametoka shamba leo wakikurupuka wakidhani ndo watajulikana ni wa mujini ,sheria ipitishwe ya kucharaa bakora hao
 
Back
Top Bottom