Kuuziwa simu Dar

Kuuziwa simu Dar

fired

Senior Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
195
Reaction score
426
Nikiwa mgeni Dar nilikutana na kijana mmoja barbarani akanionyesha simu aina ya samsung A50. Kumuuliza bei akaniambia ni laki moja. Bei ilikua chini sana nikaamua kununua. Aliniharakisha sana akisema hataki kushikwa na polisi akanifungia simu ndani ya gazeti.

Kufika nyumbani kujaribu kuwasha simu haiwaki. Kumbe nilifungiwa simu bandia imejazwa matope
 
😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝Njoo kijijini kwetu nikupe radio upunguze hasira muheshimiwa.
 
Na matangazo yote hayo bado unabahatisha kununua simu barabarani? Ingekuwa ya wizi au imehusika na mauaji ungejitetea vipi?

Afadhali hata amekuuzia kimeo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom