Greg50
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,979
- 2,494
Kuuza mechi kwa kigezo cha kuwa binti ni mpole, mkimya, mnyenyekevu, mlokole, ustadhat, hana makandokando ni kujitafutia kaburi la mapema.
Kuna siku utakuja kusikia anayoyafanya nyuma ya pazia hutaamini macho yako (japo sio wote).
Ni vyema kujikinga hata kama binti ananena kwa lugha usiaminiamini tuu.