Kuuza Figo kwa Tsh 250 Milioni

Kuuza Figo kwa Tsh 250 Milioni

Usijitie ubovu bure.

Binaadam ukisha katwa katwa, hata iweje huwezi kuwa kama mwanzoni (kabla ya kukatwa).

Pesa hiyo Milioni Mia mbili hamsini, unaweza ona nyingi kwa kuwa una shida nayo.

Lakini utakapoikamata/utakapoitia mikononi mwako utaiona ndogo, haitoshi.

Na umeshajitia ubovu tayari.

Pesa ndio ina kawaida hiyo
 
mimi pia figo zimefeli ila nimeambiwa lazima donor awe blood related wewe unawazeja muuzia ndugu yako.
 
Habarini wakuu, baada ya kuambiwa hilo dili nimebaki kujiuliza maswali
mawili ambayo naomba msaada wenu.
1.Nini madhara ya kuishi na figo moja?
2. Ni mambo gani ya kuchunga ili uweze kuishi vema na figo moja?

Majibu yenu yatanipa mwanga ili niweze kufanya uamuzi wa busara.


Watu mnapenda kumuudhi mwenyezi Mungu mchana kweupeeee!
Nenda ukatoe figo halafu wajanja wakubadilishie mbovu,kwani wewe utasimamia hilo zoezi?
 
Nina fahamu sana kuwa sjakujibu sahihi. Kwani hata wewe unajua wazi kutoa figo ni hatari ndo maana umeanzisha uzi
Ninachokiona kwako ni ujambazi na uroho wa pesa kwako.
Nasema ujambazi kozi ndo tabia za kijambazi kuua kwa uroho wa pesa na tofauti yake wew unajiua mwenyewe


Tena ujambazi wa viungo vya albino.
 
Hii ndio bei ya soko la kimataifa unaweza chagua kipi hukihitaji kwa sana
 

Attachments

  • 17ke4k0v8v2kgjpg.jpg
    17ke4k0v8v2kgjpg.jpg
    63 KB · Views: 288
Kama figo ndio zimepanda bei hivyo kama.
ni mimi bora ni kafa tu figo milion 250
Au huyu jamaa atakuwa anatutania tu kwasababu kuna jamaa kipindi flani ivi alikua anauza figo yake milion 4 lakini hakupata mteja.
 
Nasikia ukiwa na figo moja hamna kucheka. ukicheka tu unakufa.
 
Habarini wakuu, baada ya kuambiwa hilo dili nimebaki kujiuliza maswali
mawili ambayo naomba msaada wenu.
1.Nini madhara ya kuishi na figo moja?
2. Ni mambo gani ya kuchunga ili uweze kuishi vema na figo moja?

Majibu yenu yatanipa mwanga ili niweze kufanya uamuzi wa busara.
Kwan huyo mteja Yuko wp mpe namba yangu 0765129582
 
Ukitolewa figo kuna mashart unapewa ili uweze kuishi na figo moja ambayo itakua active muda wote. Na endapo figo uliyobaki nayo ikapata tatizo you are dead n gone maana ndio hiyo tu unaitegemea
Bora kufa huku nna hela na nimeacha vizuri wategemezi wangu ,kuliko maisha haya ....
 
Habarini wakuu, baada ya kuambiwa hilo dili nimebaki kujiuliza maswali
mawili ambayo naomba msaada wenu.
1.Nini madhara ya kuishi na figo moja?
2. Ni mambo gani ya kuchunga ili uweze kuishi vema na figo moja?

Majibu yenu yatanipa mwanga ili niweze kufanya uamuzi wa busara.
Usisubiri ya kuambiwa tumia mtandao vyema kupata taarifa za uhakika,

Tumia mwezi kupata taarifa hasa kwa kupitia YouTube channels za uhakika, ingia google kusanya data kutoka wataalamu kwa kuzingatia CV, na machapisho kutoka journals za kuaminika.

Mwisho nenda Hosp hasa pale Muhimbili kwa wataalam wa maswala ya figo uombe ushauri.

Tunaishi Mara moja tu.
 
Back
Top Bottom