Kuuza Figo kwa Tsh 250 Milioni

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,281
6,697
Habarini wakuu, baada ya kuambiwa hilo dili nimebaki kujiuliza maswali
mawili ambayo naomba msaada wenu.

1. Nini madhara ya kuishi na figo moja?

2. Ni mambo gani ya kuchunga ili uweze kuishi vema na figo moja?

Majibu yenu yatanipa mwanga ili niweze kufanya uamuzi wa busara.
 
Ukitolewa figo kuna mashart unapewa ili uweze kuishi na figo moja ambayo itakua active muda wote. Na endapo figo uliyobaki nayo ikapata tatizo you are dead n gone maana ndio hiyo tu unaitegemea
Ahsante mkuu masharti gani hasa unapewa?
 
Figo moja nayo itafanya kazi ile ile iliyokuwa ikifanywa na figo mbili,ila ikipata shida utakufa,because spare yake ushauza tena....

Ushauri.
Pesa inatafutwa,uhai hautafutwi,ijapokuwa kuwa na figo zote sio life warrant.
Nimekuelew mkuu.
 
Duh, Haya mkuu ngoja nisubiri majibu mengine
Nina fahamu sana kuwa sjakujibu sahihi. Kwani hata wewe unajua wazi kutoa figo ni hatari ndo maana umeanzisha uzi
Ninachokiona kwako ni ujambazi na uroho wa pesa kwako.
Nasema ujambazi kozi ndo tabia za kijambazi kuua kwa uroho wa pesa na tofauti yake wew unajiua mwenyewe
 
Back
Top Bottom