Kuuza Figo kwa Tsh 250 Milioni

Kuuza Figo kwa Tsh 250 Milioni

Habarini wakuu, baada ya kuambiwa hilo dili nimebaki kujiuliza maswali
mawili ambayo naomba msaada wenu.

1. Nini madhara ya kuishi na figo moja?

2. Ni mambo gani ya kuchunga ili uweze kuishi vema na figo moja?

Majibu yenu yatanipa mwanga ili niweze kufanya uamuzi wa busara.
Hakuna madhara yoyote ya kuishi na figo moja, actually mwili wa binadam huhitaji uwezo wa figo chini ya figi moja ili kuweza kutoa taka mwilini. Madhara tu ni kuilinda hiyo figo moja isiharibike hivo utabidi kubadili tabia ya ulaji na unywaji ili kulinda figi hiyo moja isife. Ni sawa tu na amtu mwenye jicho moja
 
Upo sahihi hii ni kweli
 
Screenshot_20230818-124724_Instagram.jpg
Screenshot_20230818-124744_Instagram.jpg
 
Habarini wakuu, baada ya kuambiwa hilo dili nimebaki kujiuliza maswali
mawili ambayo naomba msaada wenu.

1. Nini madhara ya kuishi na figo moja?

2. Ni mambo gani ya kuchunga ili uweze kuishi vema na figo moja?

Majibu yenu yatanipa mwanga ili niweze kufanya uamuzi wa busara.
Hakuna madhara mradi usinywe gongo.
 
Nahisi hizo dili zinawafikia wachache Tena kwa Siri.

Ikifika kwangu hata MDA huu natoa moja.
We nipe dili Hilo,kifo kipo tu hata Kama utakuwa na figo5,
We Kama hutojali njoo PM
Kama ni biashara halamu niambie mapema.
 
We uza tu figo yako, uishi kwa raha miaka michache ambayo itabakia ukiwa na figo moja. Ila nakushauri usiuze kwa Shilingi, uza kwa Dola tena za Marekani.
 
Back
Top Bottom