Kuuza Figo kwa Tsh 250 Milioni

Kuuza Figo kwa Tsh 250 Milioni

Habarini wakuu, baada ya kuambiwa hilo dili nimebaki kujiuliza maswali
mawili ambayo naomba msaada wenu.
1.Nini madhara ya kuishi na figo moja?
2. Ni mambo gani ya kuchunga ili uweze kuishi vema na figo moja?

Majibu yenu yatanipa mwanga ili niweze kufanya uamuzi wa busara.
gazeti kwani ufugaji wa kuku umekuaje tena mkuu, hadi ufanye mambo ya watu waliokata tamaa kabisa ya maisha bora
 
gazeti kwani ufugaji wa kuku umekuaje tena mkuu, hadi ufanye mambo ya watu waliokata tamaa kabisa ya maisha bora
Pamoj na kuwa kuna pesa inaingia lakini pia inahusu
kuokoa uhai wa binadamu mwingine na hilo ndio kubwa zaidi
sasa mimi sina taaluma ya udaktari hivyo kama kuna madhara
makubwa haina haja ya kujiingiza ndio maana nikaanza kuuliza
vinginevyo ilibidi niingie moja kwa moja.
 
kwa hiyo motivation kubwa kwako hapa ni upendo au hela?
 
Duh jamani hata huku kwetu kuna mwanamke figo zote mbili zimefeli sasa mumewe ameambiwa amtolee moja mkewe kagoma ikabidi mama mzazi wa mgonjwa ajitolee ila bado hawajasafiri kwenda India tatizo pesa!
 
Kabla ya kutoa ni lazima mfanyiwe vipimo na ithibitike inaruhusiwa wewe kutoa na yeye kupokea hiyo figo,baada ya hapo kuna upasuaji wenywe,baada ya upasuaji ni kipindi cha uponyaji wote mapumziko na uangalizi namna ya ulaji nini cha kuepuka nini cha kuzingatia na hasa kuzingatia kanuni za afya na kuzuia maambukizi ya magonjwa mbalimbali Mungu akusaidie katika hili na pia akuwezeshe kulipita salama na kuweza kuokoa uhai
 
Back
Top Bottom