Kuumwa kichwa, Msaada kwa wataalam wa afya.

MrProsecutor

JF-Expert Member
Jun 12, 2017
281
274
Habar za muda Great Thinkers, poleni na misukosuko ya hapa na pale.

Naomba kuuliza hili swali kwa wataalamu wa afya au yeyote anaejua. Hivi kichwa kinapouma ni vitu gani ndo huwa vinauma ndan ya kichwa. Mfano ukichomwa na mwiba ile sehem mwiba ulipochoma ndo inauma sas vip kwa kichwa, kuna sababu kam vile kupungukiwa maji lakini ni kipi ndo kinachoreact baada ya maji kupungua?

Nawasilisha wakuu. Thanks
 
Back
Top Bottom