Kuuliza sio ujinga: Nina safari ya DSM, naombeni muongozo wenyeji

Ushauri wngu ukishuka Ubungo panda gari za mwendokasi zile zaGerezani shukia Gerezani Mwisho ukishuka Panda gari za Tandika shuka keko Funrture hapo kuna Guest nyingi sasa ni Bajeti yko tu pia ukitaka kwenda posta kuna Gari nyingi tu zaposta na hata ukiamua kutalii unaweza kutembea kwa miguu mpaka Posta sio mbali sana
 
Baada ya kusomeshwa namba mwaka mzima bila kazi tumeitwa kwenye usaili, na usaili utafanyika hapo dsm kwenye maktaba kuu utumishi wa uma (PSRS)!

Kwanza natarajia kushukia ubungo, pili naomba nielekezwe mambo haya wadau...

1. Je hii sehemu yaani maktaba kuu utumishi wa uma iko eneo gani hapo dsm?

2. Je naweza pata sehemu nzuri ya kulala iliyo karibu na maktaba kuu kwa bajeti ya 10000-15000 (isizidi elfu 20)?

Na hata pasipokua karibu na maktaba kuu basi pasiwe mbali na kituo cha magari au sehemu nnayoweza kutumia boda boda na kufika maktaba kuu au utumishi kwa haraka!

3. Je huu usafiri wa mwendo kasi ukoje? taratibu zake zikoje?

Karibuni kwa mawazo wadau...

unatokea mkoa gani nikupe sapoti ndugu.
 
hivi ulifikaje jf ukajiunga na kuwa member humu.si unatumia elektroniki.na jua kwa sasa ukosi smartphone.
angalia google map.ndio muongozo wako na kila idara,benki,mitaa na n.k vyote vimo humo.

nasikitika sana kuona watanzania kukosa akili ya kufa sio ya kuzaliwa
 
Baada ya kusomeshwa namba mwaka mzima bila kazi tumeitwa kwenye usaili, na usaili utafanyika hapo dsm kwenye maktaba kuu utumishi wa uma (PSRS)!

Kwanza natarajia kushukia ubungo, pili naomba nielekezwe mambo haya wadau...

1. Je hii sehemu yaani maktaba kuu utumishi wa uma iko eneo gani hapo dsm?

2. Je naweza pata sehemu nzuri ya kulala iliyo karibu na maktaba kuu kwa bajeti ya 10000-15000 (isizidi elfu 20)?

Na hata pasipokua karibu na maktaba kuu basi pasiwe mbali na kituo cha magari au sehemu nnayoweza kutumia boda boda na kufika maktaba kuu au utumishi kwa haraka!

3. Je huu usafiri wa mwendo kasi ukoje? taratibu zake zikoje?

Karibuni kwa mawazo wadau...
Hii kwangu niliiona kuwa ni fursa Na ndio maana nikaamua kuja Na website hii ya [a href="[URL="https://malazikiganjani.com"]Malazi Kiganjani | Welcome[/URL]"]Malazi Kiganjani,[/a] ambayo itakupunguzia msongo wa Mawazo wa wapi nitafikia.

Lakini watu wagumu sana kuelewa, haya Na wewe mkuu husisahau kushare Na Mimi taarifa muhim zifuatazo, ili wengine wasipate taabu.

Jina la guest/lodge uliyofikia,
Mawasiliano yao,
Mtaa Na wilaya.
Na picha moja ya mazingira.

Nitumie Huku: info@malazikiganjani.com

Hii itasaidia Na wengine.

Ingia hapa ili kutembelea website yetu: Malazi Kiganjani | Welcome

Karibu.
 
Na magomeni pakoje mdau?? ukilinganisha na kimara...interms of sehem za kulala na ukaribu wa kituo cha mwendo kasi
kama ni mgeni, kulala kimara ni sawa na kurudi nyuma.
We shuka ubungo, ukitoka stand dandia gari zinazoelekea kariakoo au posta( ni njia moja), ila ushukie manzese darajani, pale kuna guest house nafuu utalala hapo, ila kuwa makini na wezi.
Asubuhi ni kwenda tu barabarani kuna kituo cha mwendo kasi, dandia za kwenda posta
 
kumbe wanaume wa dar wanahitajika kwenye shida eeh! kila la kheri kwenye usaili.. kama umetokea moshi/arusha au mikoa ambayo nauli hupanda nabusafiri hua shida kipindi hichi jiongeze mapema!
 
cha kushangazi wako watakaoitwa interview na labda wanaishi kkoo au magomeni na hawaendi.. na wewe unakuta list yako watu 300 usaili wanahitajika wawili na bado umetoka mkoani. moyo mkubwa!
 
Back
Top Bottom