Kuuliza sio ujinga: Nina safari ya DSM, naombeni muongozo wenyeji

Baada ya kusomeshwa namba mwaka mzima bila kazi tumeitwa kwenye usaili, na usaili utafanyika hapo dsm kwenye maktaba kuu utumishi wa uma (PSRS)!

Kwanza natarajia kushukia ubungo, pili naomba nielekezwe mambo haya wadau...

1. Je hii sehemu yaani maktaba kuu utumishi wa uma iko eneo gani hapo dsm?

2. Je naweza pata sehemu nzuri ya kulala iliyo karibu na maktaba kuu kwa bajeti ya 10000-15000 (isizidi elfu 20)?

Na hata pasipokua karibu na maktaba kuu basi pasiwe mbali na kituo cha magari au sehemu nnayoweza kutumia boda boda na kufika maktaba kuu au utumishi kwa haraka!

3. Je huu usafiri wa mwendo kasi ukoje? taratibu zake zikoje?

Karibuni kwa mawazo wadau...

Kalale tip top kuna vyumba vya 15000 self na usalama upo, kwanza hakuna wa kukuibia wewe wezi nao wanaangalia na mtu mwenye alivyo maana wameshazoea siku hizi kila wakikwapua mabegi wanaambulia mavyeti tu.
 
We jiandae tu huko ulipo vyema Kwa huo usailu ..we mwanaume bhana utalala hata kwakujiegesha hapo CBE kama huna mambo mengi kama Mimi. Masaa mbele
 
Kariakoo zipo hotel za 20-30K halafu unakuwa ubatembea kwa mguu hadi hapo maktaba.Good lucky!
 
Baada ya kusomeshwa namba mwaka mzima bila kazi tumeitwa kwenye usaili, na usaili utafanyika hapo dsm kwenye maktaba kuu utumishi wa uma (PSRS)!

Kwanza natarajia kushukia ubungo, pili naomba nielekezwe mambo haya wadau...

1. Je hii sehemu yaani maktaba kuu utumishi wa uma iko eneo gani hapo dsm?

2. Je naweza pata sehemu nzuri ya kulala iliyo karibu na maktaba kuu kwa bajeti ya 10000-15000 (isizidi elfu 20)?

Na hata pasipokua karibu na maktaba kuu basi pasiwe mbali na kituo cha magari au sehemu nnayoweza kutumia boda boda na kufika maktaba kuu au utumishi kwa haraka!

3. Je huu usafiri wa mwendo kasi ukoje? taratibu zake zikoje?

Karibuni kwa mawazo wadau...
Chuo ulisoma Tekeu nini??
 
Maktaba/Utumishi iko alongside Bibi Titi Road, Kutembea kutoka Akiba kunaweza kua Mbali basi shukia Posta kabisa. Advantage ya Kushukia Posta ni kua Kutoka CBE/DIT/Akiba mpaka Posta kuna mahali kuna traffic lights ambako ndipo maktaba penyewe so waweza kuomba msaada hapo kama gari ikisimama kwenye traffic light.

Pa Kulala huko Manzese ulikoelekezwa mbali sana, lala Magomeni ndio karibu, na kama Mfuko unaruhusu basi lala hata kariakoo kwenye hotel. Ukiweza kua jasiri zaidi Nenda chuo CBE kakeshe hata darasani ukikamua, hutokosa pa kulala na pale kutembea ni karibu.

Yote ya yote Za kuambiwa, Changanya na zako....!!!!
nimecheka sana hapo mwisho
 
Mzee naona unasisitiza mwendokasi lakini wakati mwingine mwendokasi hua ni kichefuchefu unaweza ukajuta.

Kama ukilala hapo magomeni mapipa kuna daladala za kwenda posta hizi nauli ni 400.

Ukilala sinza kuna daladala za posta, ni 400 pia. Sinza kuna gest na lodge za bei ya 10 - 20.

Point yangu ni kwamba, wakati mwingine mwendokasi hua unakua hovyo sana.
 
Ushauri wako ni mzuri kiongozi... Mleta mada aufwate...
 
Manzese unaweza kupata gest hata za 2,000.

Maktaba iko posta, unapanda gari za posta unashukia kituo cha akiba(kilipo chuo cha CBE) kisba unatembea tu kwa miguu kama dakika 3 au 5 unafika.

Ukipanda gati za mwendokasi(kama umelala manzese au kimara au ubungo) unateremka kituo cha DIT kisha unatembea kwa miguu dakika 5 umefika. DIT na CBE ziko pamoja, chuo kimoja kiko nyuma ya kingine.

Maeneo rahisi ya wewe kulala ni manzese au kimara ambapo unaweza kupata gesti hadi za 1500. Elfu 20,000 manzese unapata full contained na mwanamke juu.
Ha ha ha ha, mkuu umepitilizaaaa
 
Daaa sirikali yetu bhana, pasua kichwa sana, mtu anaunguza nauli toka mkoa kwenda na kurudi, gharama za chakula na malazi, alafu mwisho wa siku unapigishwa interview hewa.
 
Mkuu embu elezea hii uber maana wengine tumezoea kudandia boda boda... Inafanyaje kazi mkuu??
Tax meter, hakuna kupata bei, ukifika unakoenda meter inakuonesha bei unayopaswa kulipa.

Ila gharama yake iko chini kuliko hizi cab za kupatana hasa muda au route ambazo hazina foleni.

Nenda playstore down load app yao ujifunze jinsi ya kuitumia ukiingia kwenye app unaona near by ubber tax iko wapi unaiita hiyo system inakusoma tax ya ubber inakuja hadi ulipo na dereva anakupigia na simu.
 
Back
Top Bottom