donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Ni kwaajili ya ulizi dhidi ndege wanaokaa juu ya paa na kupupu
Nashukuru sana wakuu , je? Ndege hawezi tua sehemu nyingine tofauti na kwenye mgongonafikiri zinazuia baadhi ya ndege kutua kwenye bati ili wasinyeee bati ambapo bati huchafuka na kupata kutu sasa hizo nyaya wanaweka kwenye migongo ya bati
Ndege john anapenda sana juu ya paa wana kunya chokaa tupu na kuharibu sana papa loteNashukuru sana wakuu , je? Ndege hawezi tua sehemu nyingine tofauti na kwenye mgongo
na kwa nini ndege hao wametamalaki sana kanda ya magharibi na ziwa? Kanda ya kati huwaoni kabisa ndege hao!Hizo electric fence ni kuzuia ndege mla nyama maarufu kama bwana afya Huyo ndege mkubwa mla nyama na mizoga choo chake kinakuwa na tindikali iwapo atajisaidia juu ya bati baada ya muda bati hilo hupata kutu na kutoboka.. Kwa kujihami wakazi huweka waya huo kumzuia asitue..
Sa kanda ya kati kuna maziwa au mito yote? Hao ukaa sehemu yenye vyanzo vya majina kwa nini ndege hao wametamalaki sana kanda ya magharibi na ziwa? Kanda ya kati huwaoni kabisa ndege hao!
electric fence? hii ya kwako sasa! 😂🤔Hizo electric fence ni kuzuia ndege mla nyama maarufu kama bwana afya Huyo ndege mkubwa mla nyama na mizoga choo chake kinakuwa na tindikali iwapo atajisaidia juu ya bati baada ya muda bati hilo hupata kutu na kutoboka.. Kwa kujihami wakaazi huweka waya huo kumzuia asitue..