Petro E. Mselewa JF-Expert Member Dec 27, 2012 10,197 25,517 Aug 17, 2020 Thread starter #81 viking said: Fake report always has no outcome Click to expand... Fake!? How?
JokaKuu Platinum Member Jul 31, 2006 30,441 55,022 Aug 17, 2020 #82 Petro E. Mselewa said: Fake!? How? Click to expand... ..tulichodai tumeibiwa, ni tofauti kabisa na tulicholipwa. ..I'm talking about usd 191 billion vs kishika uchumba cha usd 300 million. ..Yaani ni sawa na kudai shs 636, halafu unayemdai akulipe sh 1. ..halafu ushangilie kuwa umeshinda.
Petro E. Mselewa said: Fake!? How? Click to expand... ..tulichodai tumeibiwa, ni tofauti kabisa na tulicholipwa. ..I'm talking about usd 191 billion vs kishika uchumba cha usd 300 million. ..Yaani ni sawa na kudai shs 636, halafu unayemdai akulipe sh 1. ..halafu ushangilie kuwa umeshinda.
Mkaruka JF-Expert Member Feb 5, 2013 19,617 34,062 Aug 17, 2020 #83 JokaKuu said: ..tulichodai tumeibiwa, ni tofauti kabisa na tulicholipwa. ..I'm talking about usd 191 billion vs kishika uchumba cha usd 300 million. ..Yaani ni sawa na kudai shs 636, halafu unayemdai akulipe sh 1. ..halafu ushangilie kuwa umeshinda. Click to expand... Halafu hiyo Tsh 1 hulipwi kwa mkupuo, unalipwa kidogo kidogo. Wakati huo huo ACCACIA ishafutwa DSE na Makinikia wanasomba kama kawaida. Achilia mbali Pure Gold ilikuwa inasombwa since DAY ONE!!
JokaKuu said: ..tulichodai tumeibiwa, ni tofauti kabisa na tulicholipwa. ..I'm talking about usd 191 billion vs kishika uchumba cha usd 300 million. ..Yaani ni sawa na kudai shs 636, halafu unayemdai akulipe sh 1. ..halafu ushangilie kuwa umeshinda. Click to expand... Halafu hiyo Tsh 1 hulipwi kwa mkupuo, unalipwa kidogo kidogo. Wakati huo huo ACCACIA ishafutwa DSE na Makinikia wanasomba kama kawaida. Achilia mbali Pure Gold ilikuwa inasombwa since DAY ONE!!
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Aug 9, 2007 18,697 8,843 Aug 17, 2020 #84 Petro E. Mselewa said: Wakuu waungwana wa JF, Kama kuna yeyote anayejua anisaidie na wengine wanaotaka kujua kama mimi. Karibuni wajuzi wa mambo Muktasari wa Ripoti ya Kamati ya Prof. Osoro unapatikana hapa: https://www.ikulu.go.tz/files/publications/attachments/2_sw.pdf Muktasari wa ya kwanza upo humu: RIPOTI KAMILI YA KAMATI YA KWANZA YA KUCHUNGUZA MCHANGA WA MADINI. – Binagi Media Group Waione: JokaKuu, Mag3 Pascal Mayalla na wengineo Click to expand... Meno ya UBWA ayangatani.
Petro E. Mselewa said: Wakuu waungwana wa JF, Kama kuna yeyote anayejua anisaidie na wengine wanaotaka kujua kama mimi. Karibuni wajuzi wa mambo Muktasari wa Ripoti ya Kamati ya Prof. Osoro unapatikana hapa: https://www.ikulu.go.tz/files/publications/attachments/2_sw.pdf Muktasari wa ya kwanza upo humu: RIPOTI KAMILI YA KAMATI YA KWANZA YA KUCHUNGUZA MCHANGA WA MADINI. – Binagi Media Group Waione: JokaKuu, Mag3 Pascal Mayalla na wengineo Click to expand... Meno ya UBWA ayangatani.
Yesu Anakuja JF-Expert Member Apr 10, 2019 9,502 19,307 Jul 25, 2023 #86 profesa mruma profesa mruma profesa mruma nakuita mara 3, nini ulilifanyia hili taifa hadi tunalipa pesa nyingi namna hii, kwanini ulisaini mikataba bila kuisoma? na umelitia hasara taifa hili.
profesa mruma profesa mruma profesa mruma nakuita mara 3, nini ulilifanyia hili taifa hadi tunalipa pesa nyingi namna hii, kwanini ulisaini mikataba bila kuisoma? na umelitia hasara taifa hili.