Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 5,937
- 10,815
Kuuliza sio ujinga,
Huyu Mwanahenzi saluhu Hassani aliyeteuliwa nafasi ya ubunge vijana, kutoka zanzibari kuingia Bara ni mdogo wa Rais wetu mpendwa?
Au ni miongoni mwa watoto WA Rais ila alimzaa kwa mume mwingine aitwae Suluhu hassani?
Kuuliza SI ujinga naomba kuelemishwa