huyo jamaa ni mnyama wa porini aliyeuvaa mwili wa kibinadamu.Wakuu hii kitu mapenzi usipokuwa makini unaweza kufanya maamuzi mabaya, kuna tetesi kuwa kuna jamaa mmoja aligundua baada ya kuwa na mtoto mchanga, mapenzi ya mkewe yalihamia kwa mtoto hivyo akajisikia wivu na kuamua kumuua mtoto ili mapenzi yarudi kwake kama mwanzo.
Alichofanya asubuhi moja alipaka sumu kwa hila kwenye chuchu za mkewe akitarajia mtoto akinyonya atadhurika kisha akaondoka kwenda kazini. Mchana akapigiwa simu kwamba kuna msiba nyumbani kwake, huku akijua kinachoendelea akawataarifu rafiki zake kwamba amefiwa na mwanae.
Lahaula,! alipofika nyumbani alipigwa butaa kumuona mwanae mzima na aliyekufa ni House Boy. WanaJF akili kumkichwa unaielewaje hii?
I am missing you alot dear.Naielewa kama ushuhuda wa namna binadamu anavyoweza kuwa mkatili,aliyekosa uvumilivu na mwenye kukosa uaminifu kwa Mungu na kwa binadamu wenzie! aliyesababisha kifo ni baba/mume na bosi wa houseboy!!!
Wakuu hii kitu mapenzi usipokuwa makini unaweza kufanya maamuzi mabaya, kuna tetesi kuwa kuna jamaa mmoja aligundua baada ya kuwa na mtoto mchanga, mapenzi ya mkewe yalihamia kwa mtoto hivyo akajisikia wivu na kuamua kumuua mtoto ili mapenzi yarudi kwake kama mwanzo.
Alichofanya asubuhi moja alipaka sumu kwa hila kwenye chuchu za mkewe akitarajia mtoto akinyonya atadhurika kisha akaondoka kwenda kazini. Mchana akapigiwa simu kwamba kuna msiba nyumbani kwake, huku akijua kinachoendelea akawataarifu rafiki zake kwamba amefiwa na mwanae.
Lahaula,! alipofika nyumbani alipigwa butaa kumuona mwanae mzima na aliyekufa ni House Boy. WanaJF akili kumkichwa unaielewaje hii?
Nimeelewa kuwa: House boy alinyonya maziwa ya dogo!!!! Mshahara wa dhambi ni mauti. Na unajua ni nini? Dogo ni malaika wa Mungu ndo maana mauti hayakumkuta. Sijui jamaa alimwangaliaje mke wake, Jamani!!!! Kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni.
Wakuu hii kitu mapenzi usipokuwa makini unaweza kufanya maamuzi mabaya, kuna tetesi kuwa kuna jamaa mmoja aligundua baada ya kuwa na mtoto mchanga, mapenzi ya mkewe yalihamia kwa mtoto hivyo akajisikia wivu na kuamua kumuua mtoto ili mapenzi yarudi kwake kama mwanzo.
Alichofanya asubuhi moja alipaka sumu kwa hila kwenye chuchu za mkewe akitarajia mtoto akinyonya atadhurika kisha akaondoka kwenda kazini. Mchana akapigiwa simu kwamba kuna msiba nyumbani kwake, huku akijua kinachoendelea akawataarifu rafiki zake kwamba amefiwa na mwanae.
Lahaula,! alipofika nyumbani alipigwa butaa kumuona mwanae mzima na aliyekufa ni House Boy. WanaJF akili kumkichwa unaielewaje hii?
sijaelewa bado,wakati anapaka sumu kwenye hayo maziwa ya mkewe,alikuwa kalala fofofo au?yani mtu ananipaka sumu in my nyonyozi nimelala tu?
Huyo house boy ananyonya ya mtu anaenyoshesha?mbn kama hainiingii akilini?
watu hawana kinyaa eeeh?tam ya toto inatoka maziwa mtu ananyonya?
Hata mimi hainiingii akilini hata kidogo bana, sio rahisi mbaba kufanya hivyo unless ungeniambia aligundua mtoto si wake bali ni wa yule mwizi alokua anamhisi na matokeo yake mtoto katokea hivyo hivyo na baba anampenda bado mke wake ndio kaamua kumuua mtoto.
mmmh lkn sumu hiyo sumu gani ambayo mzazi mwenzio anakupaka kwenye maziwa bila kuwaza madhara yake?kama anawasiwasi na mtu kumuibia mkewe si angepaka sumu kwenye naniliu?na mama huyo wakati anapakwa hiyo sumu alikuwa kalwa tila lila?me hata sielewi