Kutwa bebi wili yu meri mi??

Kutwa bebi wili yu meri mi??

Du! Hii inanikumbusha wakati fulani nilimtembelea jamaa yangu mmoja sasa chakula cha mchana siku hiyo alipika mkewe kwani ndo walikuwa wameoana muda si mrefu umepita na bado walikuwa hawana house girl.. Demu mwenyewe shemeji yangu huyo ndo wale wenye u-sista duu hasa sasa nikakaribishwa mezani, Ebwana eeee huo ugali ulikuja ukiwa mbichi kabisaa na yale mabonge-bonge ya unga.. Tukaugonga hivyo hivyo ila nilikuwa nikijisemea mwenyewe moyoni kuwa jamaa yangu huyu kala hasara..
ha ha ha haaa cha ajabu jamaa utakuta kalipa mahari milion 3 😀😀😀😀😀😀
 
Si afadhari huyo wa kwako anakamuelekeo kidogo,kuna wale ukimuambia achome chapati atakuja na unga wa sembe akidhani ndio unaotumika kwa chapati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom