Kutwa bebi wili yu meri mi??

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
13442186_10208042862841986_2723801522049999167_n.jpg

Kutwa kasista duu kanakuuliza bebi wili yu meri mi, hata chapati zinakashinda kupika.
 
Du! Hii inanikumbusha wakati fulani nilimtembelea jamaa yangu mmoja sasa chakula cha mchana siku hiyo alipika mkewe kwani ndo walikuwa wameoana muda si mrefu umepita na bado walikuwa hawana house girl.. Demu mwenyewe shemeji yangu huyo ndo wale wenye u-sista duu hasa sasa nikakaribishwa mezani, Ebwana eeee huo ugali ulikuja ukiwa mbichi kabisaa na yale mabonge-bonge ya unga.. Tukaugonga hivyo hivyo ila nilikuwa nikijisemea mwenyewe moyoni kuwa jamaa yangu huyu kala hasara..
 
Mkuu wakati mnakula mmewe ulibahatika kumuangalia usoni alikuwa na hali gani.??

Aisee inasikitisha sana aisee, na bahati mbaya wake ambao hawawezi hata kupika kwa kununa nuna huwa hawajambo.
 
ha ha ha

Mkuu unajua kuna baadhi ya mambo yanasgangaza sana aiseee, kutwa mtoto wa kike kubandika mikucha hata chapati hajui kupika??

Kweli huyu hewa.
na anashinda na selfie kumbe n jpu dah anang'ang'ana kujua ngn0 kulk0 kupka
 
Mabinti wengi hawajui kupika siku hizi sijui tatizo ndo uwepo wa mahouse girl katika familia wanazotoka. Unakuta binti mzuri na kapiga kidato lakini jikoni hovyo hovyo tu hadi unakacha kumuoa maana aibu hata kumpeleka tu kumtambulisha kwa shangazi ukiachilia mbali kwa mama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom