Wadada wenye watoto sio wabaya ila....

BenElohimy

Senior Member
Sep 21, 2021
181
222
Habari ya asubuhi wana Jf ni miezi mitatu sasa tangu nimekuja tanga.

Lakini nilivyokuja katika mkoa huu, kuna binti ghafla akawa ni mtu wa kunichangamkia!!! Si unajua na hali ya ugeni tena jaman

Maisha yakaendelea kama mwezi mmoja wote ukaisha akiwa mchangamfu kwangu, baada ya muda kuendelea akaanza nilitea mapaja ya kuku, mara chapati (ila tanga wanajua kupika chapati bana) , maisha yakazidi kuendelea.

Kuna siku bana akaniambia anatamani awe rafiki yangu milele, hilo neno MILELE naomba ulikumbuke. Unajua hakuna uchumba kama hakuna urafiki enhee, na hakuna ndoa kama hakuna uchumba enhee, kwa hiyo basi ikiwa a=b=c basi a=c kwa mantiki hiyo hakuna ndoa kama hakuna urafiki.

Lakini sikutaka kufatilia sana , ikafikia wakati hata nikienda sehemu yoyote anataka twende naye, mi kwangu haikuwa jambo baya , ila nia yake sijui ilikuwa ni nini!!!!

Ikafikia wakati katika chating zetu akaniambia anatamani awe rafiki yangu lakini anajua atakuwa anaiba mali ya mdada mwingine, nikajua hapa napigishwa nyimbo za kukubali, lakini holaaaa.

Siku moja nikawa nimetoka na nilimwambia kabisa natoka na yeye akakubali akasema ataenda pamoja nami, lakini baada ya kurudi ilikuwa usiku sana kama unapajua TANGAMANO duu mpira ulichezwa hapo hapo, nilijuta na yeye pia alijuta kwani aliniambia.

Hiyo kitu haikuhishia hapo ikaendelea, lakini kwa haraka haraka nikaona huyu dada kanipenda kweli ama anajirahisisha kwa kuwa ana mtoto na jamaa yake kambwaga chini?! Sikupata majibu.

Na sasa hivi anakazana niambia ati awe wangu milele tena huku anajua kabisa alisema anaiba mali ya mdada mwenzake. Na pia aliniambia ana TRY ili kwamba akifiti niwe naye yaaaani kweli kwenye mahusiano kuna kuTRY?

Halafu nyie wadada mnaweka vijiti mwilini kwa kuwa mnafahamu faida tuu au na hasara mnazifahamu!!

Mchanganyiko wa Mngoni na Msambaa ni hatari sana, wadada nazidi kuwaomba hata kama una mtoto usijirahisishe ili upate mtu wa kulea nae watoto wako kuwa DETERMINED.

#NITAANDIKA TENAA
 
Una elimu na umri gani?
 
Una umri gani?
 
Kuna kaujinga flani hizi huwa kinatrend,mjuba akimpiga chini Mwanamke fulani baada ya kumzalisha basi anatokea boya fulani kujifanya anajua kujali kuliko mjuba lkn baada ya muda wanatuzajia thead humu kuwa wanateswa na single mother
Usiseme hivo mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom