WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,018
Mkuu nadhani uko sahihi ,lakini kuna sehemu niliona wana shauri ikifika 100% uichomoe then utumie mpaka ikiisha then uchomeke tena , hivyo ndivyo huwa mimi nafanya.Njia ya kwanza ndio sahihi sababu battery inakufa pale inapoisha na kuichaji tena. Battery zina cell na kila cell ina namba Fulani ikifika basi inaanza kufa. Mfano kuna cell lifespan yake Ni recharge 200 ukishaichaji zaidi ya Mara 200 inaanza kupunguza ufanisi hivyo Ni vyema ukaiacha battery ijae 100% halafu ukawa unaitumia huku uneichomeka.
Ile njia ya kwanza si sahihi labda ya pili, njia ya kwanza nimeitumia na betri ikafa haraka sana, sasa hivi kama naitumia mda mrefu uwa nachomoa betri naitumia directly kama desktop
Njia ya kwanza ndio sahihi sababu battery inakufa pale inapoisha na kuichaji tena. Battery zina cell na kila cell ina namba Fulani ikifika basi inaanza kufa. Mfano kuna cell lifespan yake Ni recharge 200 ukishaichaji zaidi ya Mara 200 inaanza kupunguza ufanisi hivyo Ni vyema ukaiacha battery ijae 100% halafu ukawa unaitumia huku uneichomeka.
Mi naona njia ya kuchomoa battery ikijaa ndio sahihi zaidi yani ikiwa fully charged uchomoe bila kuichelewesha.
Unavyozidi kuicharge ni kama ndio unazidi kuiua maana laptop huwa ina heat mara nyingi hasa ukicheza hd games au heavy editing tasks.Lile joto linapozidi ndio yasemekana linaua battery.
Binafsi battery yangu imepungua ufanisi toka masaa 5 mpk lisaa 1 na dk 40 kwa sababu nilikuwa nai overcharge hali inayonilazimu niicharge saana ili kusudi nifikie huo ufanisi wa sasa.Kinyume na hapo itakaa mda mfupi mno.
Mtoa mada nashauri utumie njia ya pili ndio nzuri zaidi ila hakikisha mara zote iko fully charged kabla hujachomoa.
Mi natumia laptop yangu kwa kuichomeka bila kuchomoa battery almost mwaka WA 5 huu na battery haijachakaa sana, inakaa na chaji kama tu nilivyoinunua.
Kuna uwezekano laptop yako ikawa haina technology Fulani ndio maana inaendelea kutumia battery hata kama ikiwa full
Sasa anunue laptop halafu achomoe battery si bora anunue desktop tu sasa maana umeme ukikatika kama anafanya kazi anapoteza data zake.
Hapo nimeshakupata kiongozi, wanachomaanisha hapa ni kuchomoa umeme isiendelee kuchaji. Yaani unaunganisha laptop kwenye umeme ili iweze kuchaji, ikishajaa unatoa waya wa umeme huku ukiendelea kuitumia na sio kutoa battery kwenye laptop!
Sasa mkubwa, kama unatumia muda wote ikiwa kwenye umeme hauoni kwamba hautaweza kufanya kipimo kizuri kuona kwamba battery yako bado ina nguvu ama imepungua uwezo wake?
Mi natumia laptop yangu kwa kuichomeka bila kuchomoa battery almost mwaka WA 5 huu na battery haijachakaa sana, inakaa na chaji kama tu nilivyoinunua.
Kuna uwezekano laptop yako ikawa haina technology Fulani ndio maana inaendelea kutumia battery hata kama ikiwa full
Ningekuwa naishi marekani sawa, ILA Tanzania yetu na mgao huu unategemea nisijue ukaaji chaji WA battery yangu?
Jambo Wakuu?
Nimekuwa napata utata wa ni njia ipi ya kutunza battery ya laptop isiharibike nguvu ya kukaa muda mrefu kwa sababu nakutana na maelezo ya aina mbili.
NJIA YA KWANZA: Ni kuwa inabidi kuconnect adaptor/charger wakati wote. Hapa nimekutana na ushauri kuwa ili kuimarisha battery yapaswa uconnect hata kama charge imefikia 100% na ni vizuri isidrop below 80%
NJIA YA PILI: Hii ipo kinyume na ya kwanza maana wanaoielezea wanasema charger iwe connected up to 80% ili battery isichemke kwani kuchemka kwake ndio kisababishi cha battery kupoteza nguvu.Na wanasema ni vizuri ukatumia mpaka ikakaribia kuisha ndio uconnect chrger/adaptor
NAOMBA KUJUA NI YAPI MAJIBU SAHIHI
Asante!
Soma vizuri post za juu suggestion imetolewa battery ikijaa unaitoa halafu unachomeka waya unatumia bila battery
Mimi nilikua tu nafuatilia mtiririko wa maelezo yako, hapo juu umesema unatumia laptop yako ikiwa kwenye chaji muda wote (Hapo sikutaka kuuliza hata kama hakuna umeme?) na umefanya hivyo kwa takriban miaka mitano. Sasa kwa mtazamo huo, unawezaje kufanya kipimo cha ubora wa kujua battery yako ukoje wakati muda wote ipo kwenye umeme? rejea maelezo yako ya mwanzo.
Hata hivyo maelekezo kutoka kwa watengenezaji wa battery wanashauri laptop ikae kwenye charge na ikisha jaa ichomolewe na matumizi yaendelee hadi itakapopungua na kukaribia kwisha ndio iwekwe tena kwenye chaji.
Tatizo la hawa jamaa hawaelewi wala hawajui kabisa kitu kinachoitwa tatizo la umeme kwenye hizi nchi zetu.
nikisema miaka 5 haimaanishi haijawahi kuzima au kutumiwa hadi battery ikaisha, namaanisha priority yangu ni kutumia huku ipo kwenye chaji unless hakuna umeme/ nipo eneo la mbali na switch ndio nitatumia bila kuichomeka.
kuhusu wataalamu wa battery wanaungana na mimi unatakiwa uiache, kinachoua battery ni heat na kama laptop haipati moto ujue battery yako ipo salama. ila kama inaheat (hata kama ni laptop ya milioni 5) ujue mtengenezaji wa hio laptop amefanya makosa sababu laptop inatakiwa iwe smart ijue hapa battery imejaa iache kucharge battery na ipeleke umeme moja kwa moja kwenye matumizi.
nitakupa source
BatteryCare - Proper laptop battery usage guide
Should I Leave My Laptop Plugged In All The Time?
kwa kuongezea kuna laptop ni nyembamba sana na nyengine zina processor zenye nguvu hivyo heat ni kitu cha kawaida hii ni case nyengine