Mi Namaanisha kwamba mfano nataka nitumie fake namba ya Watsup ya marekan wakati niko Tanzania ..kitambo tulikua tuna tumia vovox ila SKU hz ilifungwaUkishaingia watsup unaweza kuitumia ukiwa nchi yoyote. whatsup yangu haina uhusiano na nchi niliyopo na sijawahi badili. Ukiwa na wifi yako au data za kutosha unatumia popote.
Kwa fake sijui ila kama una namba kama ya At & t au Verizon ukaja nayo inatumika.Mi Namaanisha kwamba mfano nataka nitumie fake namba ya Watsup ya marekan wakati niko Tanzania ..kitambo tulikua tuna tumia vovox ila SKU hz ilifungwa
Install primoWadau nauliza ni kivip naweza kutumia namba ya nje ya nchi wakati huo niko hapa bongo katika Watsup
whatsapp wamesha burn namba za primo.Install primo
Kiongozi naomba msaada. Next wiki naenda Denmark je sina haja ya kubadili namba ya simu? Maana nataka niendelee kubaki ktk magroup ya sasa ya watsp pia sitaki mwajiri ajue kama likizo nimeondoka Tz. Je hii namba yangu ya Tz naweza kuendelea nayo.Ukishaingia watsup unaweza kuitumia ukiwa nchi yoyote. whatsup yangu haina uhusiano na nchi niliyopo na sijawahi badili. Ukiwa na wifi yako au data za kutosha unatumia popote.
Jibu ni NDIO.Kiongozi naomba msaada. Next wiki naenda Denmark je sina haja ya kubadili namba ya simu? Maana nataka niendelee kubaki ktk magroup ya sasa ya watsp pia sitaki mwajiri ajue kama likizo nimeondoka Tz. Je hii namba yangu ya Tz naweza kuendelea nayo.
Kabisa kabisa utaendelea kuwepo. Yaani hata hiyo laini ukiitoa kwenye simu, ukaweka laini nyingine yenye mb, au ukakaa sehemu yenye wifi, whatsapp itaendelea kufanya kazi.Kiongozi naomba msaada. Next wiki naenda Denmark je sina haja ya kubadili namba ya simu? Maana nataka niendelee kubaki ktk magroup ya sasa ya watsp pia sitaki mwajiri ajue kama likizo nimeondoka Tz. Je hii namba yangu ya Tz naweza kuendelea nayo.
Unaenda nayo mradi unatumia whatsup vile vile kama unataka kuroam unaondoka umeweka pesa ya kutosha sababu roaming inatumia pesa nyingi hasa ukiongea. Airtel, vodacom wanakuwa na mitandao nje ya nchi. Ukifika Dubai utaona unaingizwa kwenye mtandao wa pale outomatic. Ila unaweza tumia namba yako popote mradi unaroam au unawhatsup.Kiongozi naomba msaada. Next wiki naenda Denmark je sina haja ya kubadili namba ya simu? Maana nataka niendelee kubaki ktk magroup ya sasa ya watsp pia sitaki mwajiri ajue kama likizo nimeondoka Tz. Je hii namba yangu ya Tz naweza kuendelea nayo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nenda tu Marekani hakuna namna
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeelewa kiasi wadau, je niende na Chip au handset? Kinachohusika ni nini....Inawezekana sana maana wengi siku hizi wanatumia lain za halotel katk mambo ya internet lakin kote kuanzia whatsaap,messenger,au hata fb anatumia namba yake aliyozoea ya tigo,,so ni kitu kinachowezekana ili mrad tu uwe na mb kila wakat