Kutumia namba ya nje Watsup mfano Marekani

Nimeelewa kiasi wadau, je niende na Chip au handset? Kinachohusika ni nini....
Ukienda na chip yako itakuasaidia tu majina yako lakin mtandao haitasoma ila unachopaswa kufanya ukiiacha lazima iwe on wakat unaiweka hyo whatsaap mpya,,maana kuna sehem inaaka kuverify hyo namba uliyoweka sasa ikiwa off line inasumbuaga sana,
 
Mkuu. Asante... Hivyo handset lazima iwe hii hii
 
Back
Top Bottom