jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,381
- 25,476
- Thread starter
- #101
Yule jamaa katibu mkuu wa ccm ni mtu wa hovyo kweli kweli! Mkuu msafara wake ni kufuru! Nilipouna, nilishangazwa mno! Ni mambo nayoyaona kwenye nchi za kikomunisti peke yake!alikuwa mjamaa alipokuwa na njaa chuoni baada ya kushiba nae amekuwa walewale,unapinga ufisadi hali unaishi unahudumiwa kifisadi hapa tofauti ni nini sasa