Kutumia antifungal injection

Dogo G

JF-Expert Member
Jul 6, 2018
1,052
440
Madaktari,husika na kichwa hapo juu,jamaa anasumbuliwa miwasho every where mwilini mwake especially sehemu za siri na njia ya haja kubwa.

Katumia FLUCONAZOLE zimegonga mwamba,nimeonelea atumie fungal injections mbalimbali apone au tutakuwa tumeruka stages.(ana fangasi sugu bila shaka)

Welcome
 
Fungus wanashambulia kwa sababu
1. Damu ina sukari
2. Immune system iko chini.

Kabla hamjafika mbali rafiki yako apime damu kwa diabetes, HIV na apine pia TB
Plz mimi si daktari.
Upo right mama,kapima HIV na magonjwa mengine ya ngono i.e syphillis,gonorhoea lakini hana.dokta akamshauri achome tuu sindano za kaswende akidai kuna wakati kaswende huwa haionyeshi maabara,amedunga wiki tatu lakini ndio kwanza miwasho inaendelea.

Karibu madam
 
Kwani ukisema wewe ndio mgonjwa kuna shida gani? Kumbuka mficha magonjwa kifo humuumbua, ugua pole mkuu.
 
Madaktari,husika na kichwa hapo juu,jamaa anasumbuliwa miwasho every where mwilini mwake especially sehemu za siri na njia ya haja kubwa.

Katumia FLUCONAZOLE zimegonga mwamba,nimeonelea atumie fungal injections mbalimbali apone au tutakuwa tumeruka stages.(ana fangasi sugu bila shaka)

Welcome
nami mhanga mkuu nlikuwa mfuasi wa cunnilungus so ni victim wa C.albicans systematic so ukipata soln let me know thanks in adv.
 
Upo right mama,kapima HIV na magonjwa mengine ya ngono i.e syphillis,gonorhoea lakini hana.dokta akamshauri achome tuu sindano za kaswende akidai kuna wakati kaswende huwa haionyeshi maabara,amedunga wiki tatu lakini ndio kwanza miwasho inaendelea.

Karibu madam
Je anaoga kwa wakati maana kwa wakazi wengi hasa dar jasho linagandamana mpaka ukwangue na scraper,aoge vizuri kwanza then tupe mrejesho.
 
nami mhanga mkuu nlikuwa mfuasi wa cunnilungus so ni victim wa C.albicans systematic so ukipata soln let me know thanks in adv.
Mkuu pole sana anza kutumia vidonge vya Nystatin ni dawa nzuri kwa systemic candidiasis.....

Na kwa huyo jamaa pia anaweza kuchoma sindano ya amphotericin B itamsaidia na kwa dawa ya kupaka mwambie atafute ketoconazole atakuwa sawa kabisa ila ahakikishe anapakausha huko nyuma sawa sawa na kupaka.....

Na pia azingatie usafi wa huko nyuma plus a make sure hakuna unyevu unyevu wa aina yoyote.....

Goodluck....
 
thnx mkuu ngoja nijaribu coz nshatumia almost kila dizain tabs na topocals but bada ya mda inarejea tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom