Halafu hawaweki option ya ku register/sign up mpaka uwasiliane nao. Waboreshe hicho kipengele kiwepo ili iwe rahisi mtu kujihudumia mwenyewe.Mbona hawaweki bei ya huduma
Halafu hawaweki option ya ku register/sign up mpaka uwasiliane nao. Waboreshe hicho kipengele kiwepo ili iwe rahisi mtu kujihudumia mwenyewe.Mbona hawaweki bei ya huduma
Ukiondoa beemafrica(zaman bongolive) waliobaki karibia woote ni wababaishaji tuuuMbona hawaweki bei ya huduma
Mkuu kama hutojal naomba (na kwa manufaa ya wengine) nisaidie kuelewa unatumia utaratib upi kufanya hilo..provider gan hao wanaku serve!??Kwa siku natuma SMS zaidi ya 5000 kwa PC yangu
Natumia sms za kawaida tu za Voda natuma kwa kutumia Moderm kwenye PC...kwa mpokeaji inatokea namba yangu na anaweza kujibu sio Kama ulivyotaka Hapo juuMkuu kama hutojal naomba (na kwa manufaa ya wengine) nisaidie kuelewa unatumia utaratib upi kufanya hilo..provider gan hao wanaku serve!??
mnaweza kuaninisha gharama hapa?![]()
SMS - Sema Communications
Leverage high tech to send effective sms campaign with our platformsema.co.tz
mnaweza kuaninisha gharama hapa?
Mimi nataka hii kitu ikoje mkuu20Tshs per sms. Unaeza lipia post paid pia. Sender name kama hilo jina la kanisa lenu ni bure. Na unapata huduma ziada bure kama ku prune contact zako kutoa namba ambazo hazipokei sms ili kuokoa gharama zako
okay shukrani mkuu.nilijua unatuma kwa kutumia APIs..ndio shida yangu kubwaNatumia sms za kawaida tu za Voda natuma kwa kutumia Moderm kwenye PC...kwa mpokeaji inatokea namba yangu na anaweza kujibu sio Kama ulivyotaka Hapo juu
Unatumia application gani kwenye pc?Natumia sms za kawaida tu za Voda natuma kwa kutumia Moderm kwenye PC...kwa mpokeaji inatokea namba yangu na anaweza kujibu sio Kama ulivyotaka Hapo juu
Sijui application yaani ile ukiweka laini kwenye Moderm I think Kama Voda una install Kama application ya Voda hivi Kuna option ya kutuma sms pale so una Copy namba idadi unayotaka kutoka kwenye EXCELL una paste pale na kutuma...Jinsi ya kukopi Kuna furmula yake.Unatumia application gani kwenye pc?
Mimi nataka kutuma SMS zaidi ya 200 zipo kwenye excel
Mimi nataka hii kitu ikoje mkuu