Kutozwa kodi kwenye laini

Kutozwa kodi kwenye laini

Dactar wizzy

Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
33
Reaction score
5
Jombaa mmoja aliposikia serikali imeanza kutoza kodi kupitia line ya simu za mkononi alianza kuwakimbia maaskari police akizani wanakwenda kumkamata kwa kosa lakutokulipa kodi kwenye line, Maana tangia serikali itangaze alichukuwa jukumu lakuiweka ndani simu yake ilimladi asilipe kodi hiyo.
 
Back
Top Bottom