Kutoweka uzalendo kwa nchi: CCM haiwezi kuepuka lawama

Marikani inamtafuta msaliti wa Nchi julian popote alipo
Hizo ni story za Lumumba kama imeweza muuwa Osama asiyepatikana ,al Baghdad kwa kumsakizia mbwa inashindwa vipi kumpata Julian anaejulikana,nani amekwambia wanamtafuta jukian
 
Hata huko kwa Mabeberu mnaowashabikia wasaliti wa nchi hupokonywa uraia au kufungwa jela
Nimegundua kuwa wewe hujui hata katiba inasemaje!Haki ya uraia haiwezi kupokwa hata ujilipue na kuua watanzania milion 1!
 
Back
Top Bottom