Kutongoza wanawake walioolewa ni rahisi kuliko wasioolewa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,619
Reaction score
128,011
Hili sasa halina mjadala au ubishi kuwa kumtongoza mke wa mtu ni rahisi sana kama kusukuma tairi katika mteremko wa mlima kitonga. Lakini ni ngumu mno kutongoza hawa wasichana wetu wa kiswaz wana mlolongo mrefu na usumbufu.

Kwanini hali hii?

Karibuni

Kuna kaukweli....
1. Wa kwenye ndoa wana mastress hivyo wanadhani kulipa kisasi ni kugegedwa nje
2. Hao wa kiswazi bado hawana mastress ya ndoa hivyo wanajiona wanalipa
3. Wa kwenye ndoa wao kukataa ni kazi kwa vile wanaona akmikataa huyo mwenye ujasili wa kutongoza mke wa mtu anaweza asimpate mwingine..
4. Wasio kwenye ndoa wao wanajijiuwa watatongozwa any time na popote
 
Halina Mjadala au Ubishi Kuwa Kumtongoza Mke Wa Mtu Ni Rahisi Sana Kama Kusukuma Tairi Ktk Mteremko Wa Mlima Kitonga Lakini Ni Ngumu Mno Kutongoza Hivi Videmu Vyetu Vya Kiswazi Na Vina Mlolongo Mrefu Na Usumbufu.

Kwanini Hali Hii?

Karibuni!

Kuna kaukweli....
1. Wa kwenye ndoa wana mastress hivyo wanadhani kulipa kisasi ni kugegedwa nje
2. Hao wa kiswazi bado hawana mastress ya ndoa hivyo wanajiona wanalipa
3. Wa kwenye ndoa wao kukataa ni kazi kwa vile wanaona akmikataa huyo mwenye ujasili wa kutongoza mke wa mtu anaweza asimpate mwingine..
4. Wasio kwenye ndoa wao wanajijiuwa watatongozwa any time na popote
 
kanitukana mimi ,.. huyu ni shemeji yangu najua hili dongo ni la nani ? usiingilie ugomvi wetu.. walishawekaga thread kama hii ikaleta shida wakaifunga kwa nini tena again

Mkitaka tusiingile EMBU mPM... kutuwekea hapa maana yake tuchangie...

By the way... Kama mna ugomvi 'WENU' na hamtaki kuonekana kwamba mnagombana mPM
 
kanitukana mimi ,.. huyu ni shemeji yangu najua hili dongo ni la nani ? usiingilie ugomvi wetu.. walishawekaga thread kama hii ikaleta shida wakaifunga kwa nini tena again

Wewe Dada Miss Chagga Tulia Hili Jambo Lijadiliwe Kwani Lipo Waziwazi Huku Kitaani Kwetu. Kumbe Ulishawahi Kuhusishwa Nalo Huko Nyuma? Mmmmmmmmmmh Na Wewe Dada Yangu Una Majanga. Ila Natumai Hujambo Na Shemeji Yetu Nae Hajambo Pia. Tupo Pamoja Dada!
 
ni kweli nakumbuka niliwah kuwa na uhusiano na mke wa kigogo wa jeshi la polis mwenye ofis yake wizara ya mambo ya ndani. mwanamke alikuwa analalamika huyo kigogo huwa anarudi usiku sana na akirud amelewa, nashukuru nilimla hadi PETE ,nakumbuka alikuwa akija kunifuata na verosa tunaenda hotelini kulala
 
ha ha ha haha shemeji haya nimetulia
 
ni kweli nakumbuka niliwah kuwa na uhusiano na mke wa kigogo wa jeshi la polis mwenye ofis yake wizara ya mambo ya ndani. mwanamke alikuwa analalamika huyo kigogo huwa anarudi usiku sana na akirud amelewa, nashukuru nilimla hadi PETE ,nakumbuka alikuwa akija kunifuata na verosa tunaenda hotelini kulala

Kama umeoa au una mpango wa kuoa na wako ataliwa tu.
 
Back
Top Bottom