Kutongoza raha jamani...

Waswahili tunasema " UKIONA MANYOYA UJUE KALIWA" so wadada mnaojitamba kuwa mnawalia watu vizawadi kuweni makini, Wanaume tuna tabia ya kujifanya mafala sometimes,, Mtu anaweza akakuhonga leo lakini kwa ajili ya kuweka boya then mzigo akaja kuulla miaka hata mitano mbele,,

Wadau wana tabia ya kuwarudia madem waliojifanya wajanja kiasi kwamba hata kama akijijua yeye Utamtosa atamtumia hata Rafiki yake aje Indirect then Umpende na mwisho wa siku akulize kama ulivyomliza jamaa yake,, so wadada jisifieni tu but "There is no such things as a free lunch"
 
duhhhh mi nishapewa vya mbavu hadi nimekoma kuwafuata ao watoto wa kike we ndo unapenda !!!!
 
hahaha! umenikumbusha kuna binti nilimpenda ajabu miaka ya nyuma mtoto wa kiume nikajinyima nikampangishia nyumba,makochi,kitanda,kabati,dressing table,TV,deck,feni na mazagazaga kibao,alipoona chumba kimekamilika haswaa akadai hanipendi tena hahaha! nikajikung'uta vumbi na kuishia zangu lol!

Mkuu malizia basi, nini kilifuata baada ya wewe kuondoka ukizingatia ulishamnunulia vitu?
 
Back
Top Bottom