Kutongoza raha jamani...

Waswahili tunasema " UKIONA MANYOYA UJUE KALIWA" so wadada mnaojitamba kuwa mnawalia watu vizawadi kuweni makini, Wanaume tuna tabia ya kujifanya mafala sometimes,, Mtu anaweza akakuhonga leo lakini kwa ajili ya kuweka boya then mzigo akaja kuulla miaka hata mitano mbele,,

Wadau wana tabia ya kuwarudia madem waliojifanya wajanja kiasi kwamba hata kama akijijua yeye Utamtosa atamtumia hata Rafiki yake aje Indirect then Umpende na mwisho wa siku akulize kama ulivyomliza jamaa yake,, so wadada jisifieni tu but "There is no such things as a free lunch
"

Kina dada hiyo bolded red hapo juu ni kweli kabisaaa! Mkuu hapo umemaliza, na uzoefu unaonyesha kadiri anavyojidai hataki na mwishowe akataka baada ya muda mrefu huwa ni maumivu makali kwa sababu kwa muda huo mrefu wanawake huwa mnajenga mapenzi ya kweli wakati mwanaume anakuwa ameshakutoa moyoni, sana sana anataka tu ulipe gharama zake.

My take: Kama humtaki mwanaume ni vyema ukaacha kula mali zake pia, vinginevyo ndo haya mambo unakuta mtu kafia gest, au mtu anakwambia wanaume wote wanafanana. Hivi unamsumbua miaka mitano, kweli unaamini huyo mtu atakuwa hana mtu kweli kina dada, acheni hizoooooooooooo!
 
Ku*"ngozwaa raha mara ishirin zaidi! Na vijizawad zawad aaaah wavipata, mwsho wa siku unalibwaga bwaaaa baharini!!

Naunga mkono hoja, unamwagiwa sifa kibao, ooh you are so special, special wapi..... zako tu zinakusumbua.
 
Waswahili tunasema " UKIONA MANYOYA UJUE KALIWA" so wadada mnaojitamba kuwa mnawalia watu vizawadi kuweni makini, Wanaume tuna tabia ya kujifanya mafala sometimes,, Mtu anaweza akakuhonga leo lakini kwa ajili ya kuweka boya then mzigo akaja kuulla miaka hata mitano mbele,,

Wadau wana tabia ya kuwarudia madem waliojifanya wajanja kiasi kwamba hata kama akijijua yeye Utamtosa atamtumia hata Rafiki yake aje Indirect then Umpende na mwisho wa siku akulize kama ulivyomliza jamaa yake,, so wadada jisifieni tu but "There is no such things as a free lunch"
He! Yaani ndio hivyo!!
 
hahaha! umenikumbusha kuna binti nilimpenda ajabu miaka ya nyuma mtoto wa kiume nikajinyima nikampangishia nyumba,makochi,kitanda,kabati,dressing table,TV,deck,feni na mazagazaga kibao,alipoona chumba kimekamilika haswaa akadai hanipendi tena hahaha! nikajikung'uta vumbi na kuishia zangu lol!
Aisee kumbe nyinyi ndio mliokuwa mkituzibia wenzenu, yaani mavitu yote hayo? Kweli Uporoto ulikuwa mkareee!
 
hahaha! umenikumbusha kuna binti nilimpenda ajabu miaka ya nyuma mtoto wa kiume nikajinyima nikampangishia nyumba,makochi,kitanda,kabati,dressing table,TV,deck,feni na mazagazaga kibao,alipoona chumba kimekamilika haswaa akadai hanipendi tena hahaha! nikajikung'uta vumbi na kuishia zangu lol!

duh! Mpenzi poleeee.
 
Back
Top Bottom