Tundazuri
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 2,376
- 3,008
Ndio nashangaa, jina langu limesadifu nilivyo, mabusu ndio yananipa rahaKilugha gani iko cha kiwaki![]()
Ndio nashangaa, jina langu limesadifu nilivyo, mabusu ndio yananipa rahaKilugha gani iko cha kiwaki![]()
Siku hizi fursa ndio inaangaliwa wala huitaji nguvu kubwaTongonezi
Kwa ustadi wa kudumisha mahusiano
Kila mtu anaangalia maokoto piaa hata huyo wa kuoa nani anataka shidaHuyo anakuwa malaya. Lakini decent woman unayetaka kufanya naye maisha au mahusiano ya muda mrefu lazima umtongoze.
Sent from my Infinix X697 using JamiiForums mobile app
Makubaliano yalikuwa sio kuuliza pesa bali unavyojaribu kununua vitu ndio unavyomsogeza msichana, pesa inaongea mpenziAnayekuuliza una shingapi ni malaya pekee. Unataka kuniambia wanawake wote mji mzima wanauza?
Sent from my Infinix X697 using JamiiForums mobile app
Atakuwa mtotoNgeweka ile screenshot hapa sema nahisi yupp humu
Weeeeh hivi kumbe Sasa apa nijae PM tu mapema au vipi😂Ndio nashangaa, jina langu limesadifu nilivyo, mabusu ndio yananipa raha
KaribuuWeeeeh hivi kumbe Sasa apa nijae PM tu mapema au vipi![]()
NishakaribiaKaribuu