Kutongoza ni sifa ya kiume

Kutongoza ni sifa ya kiume

Aliekuambia kutongoza ni sifa ya kiume ni nani? Mwanaume aliekamilika, asie na sifa mbaya kwa maana si mhuni wa kilevi chochote+zinaa, huyu ndio mwanaume haswaa/RIJALI الرجال
 
huyo atakaye funga nae ndoa utampataje? mzee

Unaenda kuposa direct bila kutongoza, kama ana mchumba tafuta mwingine wapo wengi tu, wanawake ni wengi kuliko sisi mzee, so unakuta wengine hawakuolewa wanatafuta wa kuwastiri.
 
Back
Top Bottom