Jana ktk EATV "Strictly Kenyan" kulikuwa na mada kuhusu wanawake wa Kenya kuanza kwa kasi ya ajabu kutongoza wanaume. Wahojiwa walikuwa wanaume na wanawake; na wote waliliona kuwa ni jambo la kawaida kabisa na kuliunga mkono. Lakini miye BAZAZI nina wasiwasi kama huo ni mpango wa YEHOVA Mungu. Ukiangalia wanyama na ndege wote utaona kuwa watongozaji ni wakiume. Kwa sababu hiyo ndio maana kwa Binadamu wanawake ni wazuri ili wawavutie wanaume lakini wanyama/ndege kwa vile hawana uwezo wa kuongea Mungu aliwafanya wa Kiume kuwa wazuri ili kuwafutia wanawake. Naomba kukosolewa kwa haki. Nawakilisha
nyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!??!
in short utongozaji wao uko very sophisticated and advanced na ndio maana theier success rate rate is very high
Watu tupo tofauti sana......
Mimi binafsi wanawake wanaotongoza wanaume huwa nawazimia sana.......
It shows confidence and knowing what u want..............
Binafsi nimedumu sana kwenye relationships ambazo
mwanamke ndie alinitokea first..............
kweli ni haki yenu wanaume...:tape2:
halafu uwafanyeje?na pia napenda wadada warembo kama wewe!, :hug: